Kweli nimejificha huku best, kule siasani kichefuchefu kabisa, inabidi nitembee na limao kila wakati, sias za bongo sina hamu nazo kabisa, hadi nimeshindwa sasa kutofautisha upinzani na ccm, nawaona wote ni wale wale, tena nahisi ccm wakijipanga vizuri wanaweza kurudia umaarufu wao wa enzi za mwalimu. Hahaaa sorry nimeandika siasa huku