Kagame Cup, Dar es Salaam-Tanzania 2015 Special thread!

magufuri naye ana gundu kama kikwete bora asingeenda
 
Sijui haya Mchezo gani sie tunaweza kujivunia.

Kenya pamoja na vurugu zote kwenye Siasa,Usalama,Ukabila.
Ila wamerejea kwenye Soka kwa kiwango kikubwa,Waganda ndio kabisaa wapo mbali.

Ila ukiamka na kusoma magazeti yetu,basi unaweza kusema kwamba hapa soka ndio kwao.Acha EPL ianze tuachane na huu ugonjwa wa moyo.

Uhuru Suleiman aliyaona haya,akakwepa Usajili huyooo akasepa zake South Africa
 
Wanacheza mpira au wanacheza ngoma ya sindimba.
 
Mpaka sasa vijana wanajitahidi japokuwa tunacheza pungufu lakini gor mahia shughuli wanaipata. Ball control ipo 100% tatizo umaliziaji. Na uhakika gemu zijazo tutatisha sana
 
Kwani kumetokea nini mbona mbona hamsemi
Mpaka sasa vijana wanajitahidi japokuwa tunacheza pungufu lakini gor mahia shughuli wanaipata. Ball control ipo 100% tatizo umaliziaji. Na uhakika gemu zijazo tutatisha sana
 
Bora nihamie Azam FC kwa kweli,siasa za Simba na Yanga za kuchezea mpira kwenye magazeti siziwezi
 
yaani tunacheza utafikiri simba. Na hii mimbumbumbu inavyoshangilia hapa uwanjani natamani wangeruhusu tuingie na silaha kudadadeki

Hahahaaaaa mimi ndio maana mechi kama hizi huwa siendi taifa maana naweza kujikuta najutia muda wangu nilioupoteza bora kukaa home tu.
Hasa wakati wa kutoka na wanazi kama sisi wa Jangwani hatuendi uwanjani bila kuvaa jezi halafu tufungwe ni balaa.
 
Nipeni matokeo wadau ndo naingia humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…