Kagame Cup mbona kimya, ipo au haipo?

wakimataifa.

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
1,625
Reaction score
558
zikiwa zimesalia wiki mbili sijasikia ratiba kupangwa hapo ndio ubovu wa mosonye na cecafa yake.
sijui tuite bonanza au fetefete
 
Droo ndiyo hiyo

Group A:
Young Africans (Tanzania)
Gor Mahia (Kenya)
Telecom (Djibouti)
KMKM (Zanzibar)

Group B:
APR (Rwanda)
El Shandy (Sudan)
LLB (Burundi)
Elman (Somalia)

Group C:

Azam F.C (Tanzania)
KCC F.C (Uganda)
Malakia (Sudan)
Adama (Ethiopia)
 
zikiwa zimesalia wiki mbili sijasikia ratiba kupangwa hapo ndio ubovu wa mosonye na cecafa yake.
sijui tuite bonanza au fetefete

Sasa Kama Simba Sports Club Haipo Wewe Unadhani Hizo Shamrashamra au Amsha Amsha Za Hilo Kombe La Kagame Zitatoka Wapi Mkuu?
 
Kwani Yanga wameamua mwaka huu kushiriki hili bonanza? Waswahili bwana.......
 
zikiwa zimesalia wiki mbili sijasikia ratiba kupangwa hapo ndio ubovu wa mosonye na cecafa yake.
sijui tuite bonanza au fetefete
wakimataifa bana! mbona habari zako ni loko? cecafa tar18 yanga na gor mahia ufunguzi
 
Sasa Kama Simba Sports Club Haipo Wewe Unadhani Hizo Shamrashamra au Amsha Amsha Za Hilo Kombe La Kagame Zitatoka Wapi Mkuu?

simba hata wasiposhiriki cecafa bado hawana mashabiki wa kutosha.mechi zitakuwa na watazamaj wengi tu.
 
wakimataifa bana! mbona habari zako ni loko? cecafa tar18 yanga na gor mahia ufunguzi

sawa mada hii nilitoa tarehe 28/6 ratiba imetoka tarehe 1/7 sasa utasemaje loko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…