Kagame cup mshindi wa 3: Yanga waingia mitini

Miaka 10 baadae bado ujumbe wako unaishi.
 
Kama wanafanya hivyo Yanga watakuwa wametunyima haki wapenzi wa soka Tanzania na Afrika Mashariki, watakuwa wametuhujumu na kutuaibisha Watanzania na Shirikisho la Soka nchini na Afrika Mashariki na WAFUNGIWE kushiriki mashindano yards CECAFA maana hawana sababu wala hoja ya kujitoa kwenye mashindano hayo.

Vv
 
Ahhh kumbe thread mfu imefufuliwa! Huyu aliyeifufua atakuwa amenusa kitu.

Vv
 
Ahhh kumbe thread mfu imefufuliwa! Huyu aliyeifufua atakuwa amenusa kitu.

Vv
 
Bora Yanga hakutokea kabisa kuliko mtani alipopigiwa mwingi second half akaweka mpira kwapani na kutokomea kusikojulikana.
 
Kipindi hicho biashara ya madawa ya kulevya ilikuwa imeshamiri Sana kule Uturuki!
 
Mkuu Phillemon Mikael, ulimaliza, Umemaliza!
 
Simba akishabeba mpira kwapani akaikimbia Yanga kipindi cha pili mwaka 1992. Msijisahulishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…