Kagame in Tz... Amazingly

Kenya ndio nchi ambayo tungeweza kushirikiana kiuchumi na watanzania na wakenya tukanufaika.

Ushirikiano wa kiuchumi unafaa kwenye nchi zote majirani wenu, hamna mambo ya "mruke mruke mpe mruke". Hao hao Rwanda mnafaa kukomaa nao na kufanya mengi pamoja, pia ukija Kaskazini muendelee kushirikiana na sisi na Uganda, bila kusahau Msumbiji na Malawi huko Kusini.

Dunia ya leo hakuna anayejitosheleza, Uhabeshi tayari wamelielewa hilo baada ya kutufungia kwa miongo, leo hii rais wao ameagiza miradi ya pamoja kama bomba la mafuta ghafi, reli na mengine mengi. Sisi tunashirikiana hata na Somalia huku wakitupiga mabomu.
 
hahaha...ila kazi kweli kweli, nlicheki juzi, kampuni ya mawasiliano kenya safaricom ni kubwa kuliko uchumi wa rwanda..ila hongera zake magu


Ni nani alikudanganya Safaricom ni kampuni ya Kenya? Je Vodacom au Tigo ni Kampuni za TanZania?
 
Ni nani alikudanganya Safaricom ni kampuni ya Kenya? Je Vodacom au Tigo ni Kampuni za TanZania?
tigo na vodacom si campuni za tanzania lakini safaricom ni lampuni ya kenya ambayo umiliki wake mwingi ni kutoka kwa wakenya na pia serikali ya kenya
 
tigo na vodacom si campuni za tanzania lakini safaricom ni lampuni ya kenya ambayo umiliki wake mwingi ni kutoka kwa wakenya na pia serikali ya kenya


Kawadanganye wajinga wenzako huko Dondora, Safaricom siyo Kampuni ya Kenya kama ishu ni shea hata vodacom baadhi ya Watz wanamiliki shea zake lkn hakuifanyi kuwa Kampuni ya TZ!
 
Kawadanganye wajinga wenzako huko Dondora, Safaricom siyo Kampuni ya Kenya kama ishu ni shea hata vodacom baadhi ya Watz wanamiliki shea zake lkn hakuifanyi kuwa Kampuni ya TZ!


Sawa continue consoling urself it wont change a thing

Unlike Vodacom in TZ

SAFARICOM WAS STARTED BY KENYANS WHO LATER ALLOWED OUTSIDE OWNERSHIP THROUGH SHARES


JUST LIKE WHAT KQ WANTS TO DO



Safaricom , Ltd is a leading mobile network
operator in Kenya . It was formed in 1997
as a fully owned subsidiary of Telkom

Kenya . In May 2000, Vodafone Group Plc of
the United Kingdom acquired a 40% stake
and management responsibility for the
company.

As of May 9, 2015, Bob Collymore is the
CEO; he succeeded Michael Joseph on
November 1, 2010, after Joseph's ten years
as Safaricom CEO. [1] Robert Collymore has
spent most of his career in the
telecommunications industry starting with
British Telecommunications where he held
a number of marketing, purchasing and
commercial roles over a 15-year period.
Recent reports appearing in the cross
section of the press indicate that Vodafone
Plc of UK only owns 35% and the remaining
5% is owned by a little-known company,
Mobitelea Ventures Limited. The reports
have caused a stir which led to the
summoning of its CEO Michael Joseph to
appear before the PIC "Public Investment
Committee", during which he denied
knowing who the other shareholder is. A
spokesman for Vodafone said "the PIC has
no powers to investigate M&A activity (see
Mergers and Acquisitions), only to ask to
view company accounts of Vodafone Kenya
Limited, a company registered in Kenya.
Mobitelea Ventures Limited were granted
an option to purchase 25% of Vodafone's
shares which they completed in 2002,
Vodafone bought back half of the stake in
2003 for $10m, [2] and in the financial year
ending 31 March 2009 purchased the
remaining indirect equity stake of 5%, thus
returning Vodafone to its original 40%
stake-holding. [3] Vodafone said that whilst
it would like to disclose who owns
Mobitelea it is unable to because of a
confidentiality agreement.[2]
Safaricom employs over 1,500 people
mainly stationed in Nairobi and other big
cities like Mombasa , Kisumu, Nakuru and
Eldoret in which it operates retail outlets.
Currently, it has nationwide dealerships to
ensure customers across the country have
access to its products and services.
As of January 2010, Safaricom boasted a
subscriber base of approximately 12
million, most of whom are in the major
cities - Nairobi, Mombasa, Kisumu and
Nakuru.
Its headquarters are located in Safaricom
House, Waiyaki Way in Westlands, Nairobi.
It has other offices in the city center in I&M
building, Kenyatta Avenue, on Kimathi
Street and at Shankardass House, next to
Kenya Cinema Moi Avenue.
Its main rival is Airtel Kenya. Other rivals
include Essar's YU (which they recently
purchased, in conjunction with Airtel)[4]
and Orange Wireless .
 
Daah, nimeipenda sana hii
 
hahaa ..am forced to spew some bit of venom every now and then,lower my iq(intentionaly) in order to be in sync with some of my country men.
That aside, a few yrs ago, while still at campus,i had a three month intern stint at dyer and blairs nrb, i learnt the ropes there and did realy well @younginvestors.co.ke. i love the nse, its a goldmine if u know where to mine!.
 
Ni nani alikudanganya Safaricom ni kampuni ya Kenya? Je Vodacom au Tigo ni Kampuni za TanZania?
mkuu dahh! ushawahi sikia kitu kiitwacho i.p.o , yaan initial public offering, ya hisa?. Safaricom had its i p o in 2008, my kin bought in @5ksh , ryt now the valuation is trading at over 16ksh! damn i love you vodacom..
 
If mpesa stalls owners were to have the value of their investments in the outlets as shares owned in safaricom, nadhani sahii nusu ya hii kampuni Ingekuwa yao.
 
Kenya ndio nchi ambayo tungeweza kushirikiana kiuchumi na watanzania na wakenya tukanufaika.
Fikla mgando hizo wewe
Hao sio watu wema kamwe kwa Tanzania

Mnaidharau Rwanda kivipi ikiwa imeweza kujijenga yenyewe!!

Kipindi wamejitenga wakiwa watatu mbona haya hamkuyaona!!
 
Fikla mgando hizo wewe
Hao sio watu wema kamwe kwa Tanzania

Mnaidharau Rwanda kivipi ikiwa imeweza kujijenga yenyewe!!

Kipindi wamejitenga wakiwa watatu mbona haya hamkuyaona!!
Kwahiyo unataka kusema rwanda ndio wema kwa Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…