Kagame, Museveni walivyomzidi Kenyatta ujanja kwa kushirikiana na Tanzania kwenye biashara wakati wakipambana na COVID-19

Kagame, Museveni walivyomzidi Kenyatta ujanja kwa kushirikiana na Tanzania kwenye biashara wakati wakipambana na COVID-19

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
17,506
Reaction score
16,003
Ndugu zangu,

''Ajizi nyumba ya njaa'', Kagame na Museveni wakati wanajadiliana mkakati wa ''lockdown'' ndani ya nchi zao ili kupambana na Corona walikuwa wanaendelea na mazungumzo binafsi (billateral discussion) jinsi watakavyo kuwa wakisafisafirisha mizigo na kufanya biashara na Tanzania bila kukwama.

''akili za kuambiwa changanya na za kwako'' kwa upande wa pili Kenyatta yeye baada ya mazungumzo kaendelea kutekeleza masharti ya mkopo wa IMF huku akitekeleza ''blue print'' ya WHO ambayo imeandikwa kwa kuzingatia mazingira ya Ulaya na Marekani

Hapa akae afanye ''homework'' kabla hajazama zaidi
 
Umesahau mkutano wa IGAD walikubaliana na Ethiopia kusimamisha flights then walipomaliza tu!

 
Back
Top Bottom