Hawezi kumface kagame toka aongee vitu vya hovyo juu ya Rwanda. amebaki kukimbia kimbia tu.
Kama Mkutano unafanyikia kigali inawezekana ndo maana hajaenda,
Kagame hakaribishi wala rushwa kuitia najsi nchi yake.
lakini wananchi wake wako radhi kuwa wakimbizi haramu Tanzania, why?
Hao akina Kenyatta wanapiga soga tu. hakuna litakalowezekana kwenye Jumuiya ya Afrika ya Mashariki bila ya uwepo wa Tanzania
lakini wananchi wake wako radhi kuwa wakimbizi haramu Tanzania, why?
Nakubaliana na wewe dada. Uhai wa EAC unategemea ushiriki wa Tanzania
Acha ujinga wewe. Mbona hujauliza Rais Yuweri Museveni na Piere Nkurunziza
ndoto hiyooooooo...........hivi nchi raslimali ni tele, uvivu tele tele pia....tz ingekuwa ni mojawapo matajiri africa lakini ni mojawapo ya backwater states.hivi ndiyo tunahitaji EAC ifaulu.kazi kweli.....
lakini wananchi wake wako radhi kuwa wakimbizi haramu Tanzania, why?
Hahahahahaaaaaa! Watutsi utawajua tu kwa post zao. Hapo soon MAHORO atatinga mguu
Kikwete wamuite kwenye mambo ya kuomba misaada. ndo expert wao.
lakini wananchi wake wako radhi kuwa wakimbizi haramu Tanzania, why?
ninauhakika Museveni atakuwa anasababu inayoeleweka lkn Nkurunziza amesua kwenda kwasababu kashaanza ujinga ujinga anajifanya kusahau waliomlipia ada ya kuingia EAC hv keshaanza kupretend eti EAC sio dili sana mara yumo mara hayumo yaani tunashindwa kumuelewa! ila vijana wetu washaanza kuleta data kutoka kule Congo alipopeleka wanajeshi wake kwa sili inasemekana hv washarudi Burundi nainasemekana karudi nawale wanaoishi msituni miaka 20 kama ngedere (FDLR) wakati wenzao wengi washarudi rwanda hv wanakula bata tu! wee chezea Rwanda wewe. my take: ninashangazwa nakuona hii coaltion of evil haisiamishi njama zao potofu maana kila wanachofanya tuko na data utafikiri tumewachomeka camera, nani kaingia dar tunae, nani kaonana na nani Congo tukonae, Nkurunziza kaingiza nani kutoka msitu wa Congo tunae, watu waliotupwa mto Rweru tunajua waewafikisha vp pale, I can on and on yaani ujinga hauna kifani jamani! ila waswahili wanasema majuto ni mjukuu, acha waendelee na ujinga wao ila tunasuiri wanyanyue kichwa tu ndio watajua how small is Rwanda
mh! hebu tupe habari, we unajuaje kama mtusi ndio kapost? hebu nisaidie Lizaboni Mtusi ama vp? maana post zake si bure! pili naomba uniambie uraia wako ni Tanzania au Rwanda? ninahofu na sumu za Jean-Marie aka Jumali zinawezakuwazimeanza kufanya kazi Tanzania mi sijui maana niko mbali kidogo
hello Jumali been looking for you all day long! didn't know you brought your poison this side? anyway back to your obvious questions/suggestions, those fellows were in Tanzania long time ago, they ddn't know what was happening in Rwanda just like your relatives in the jungle of Congo but now they are enjoying a national cake, mark my words you will never see them in Tanzania again may be for business reasons! next time ntakutumia picha zao uwezi kuamini walivyonawili lkn hata hivyo we mbona ni bingwa wakugoogle uwe unachekicheki basi n nyuzi za home sio kushinda unatafuta sumu tu labda unaweza kubadili mawazo nakurudi home au unamsubili msanii alivyowaahidi kurudi nyumbani kwa malidhiano? kwa taarifa yako huyo msanii watanzania walishachoka nae atabiriki usije kushangaa akiwageuka eti ooh mnakimavi mbona kila akijaribu eti mambo hayakubali hizo pesa za wafaransa bora mzichukue wenyewe maana zikisha isha ndio mtamjua na membe wake.
Real tanzania were at the time of Nyerere(RIP) when he supported revolutionaries in Africa by conviction and not corruption like dhaifu
Ikiwezekana wachukue na ziwa victoria na ziwa tanganyika wafanye tu yao kama walivyofanya mlima kilimanjaro;
sie acha tulale usingizi wa pono.