DOKEZO Kagera: Hali ya vyoo Bandari ya Bukoba ni mbaya, Mamlaka zichukue hatua

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Vyoo.jpg
Hali hii ya vyoo vya Wanaume bandarini Bukoba Mkoani Kagera ni kama hivyo unavyoona kwenye picha, hali ipo hivyo zaidi ya mwezi sasa vimeharibika havina huduma ya maji na vinatumika bila marekebisho.

Hakuna maelekezo waliyoweka kama kuna shida yoyote na hatua gani zinachukuliwa, kibaya zaidi milango ya vyooni haifungi, ukiingia panabaki wazi au ukitaka weka kitu chochote cha kuzuia mlango lama ni mkono mguu au chochote unachojua wewe.
 
Wahusiki walifanyie kazi mana inasikitisha kwakweli.
 
Back
Top Bottom