Kagera iko mbele kiufaulu, kielimu lakini kimaendeleo kama imetengwa na serikali

Kagera iko mbele kiufaulu, kielimu lakini kimaendeleo kama imetengwa na serikali

Mr Pixel3a

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2021
Posts
5,710
Reaction score
8,579
Kagera iko mbele kiufaulu, kielimu lakini kimaendeleo kama imetengwa na serikali

Shida ni nini!? serikali ,watu wenyewe wa kagera, ukanda, ubinafsi au laana?
 
Mmeshindwa kujiorganise wenyewe wakati mmesoma kweli kweli. Why muitegemee serikali miaka na miaka?

Serikali yenyewe hii hii inayouza maliasili za nchi?
 
Shida ni Nini!? serikali ,watu wenyewe wa kagera, ukanda ,ubinafsi au laana!?
Hamna aliyewatenga shida utashi wenu wana Kagera wa kutowekeza kwenu! Angalia hata mindset yako ilivyo! Kwa hili usitafute mchawi! Kama miundombinu ipo barabara, airport, Lake ports na kama vyuo mnajengewa na serikali! Nyie ni mabingwa wa biashara za magendo kutoroshea Uganda muulize Bashe!

Mkoa kama Kilimanjaro unaofanana kwa mazao ya kilimo japokuwa Kagera rutuba yake haina upinzani, taasisi nyingi za elimu ni matokeo ya kuji-organise wao wenyewe aidha kupitia uongozi wa kichifu au KNCU au churches! Au chukua mfano wa mikoa kama Iringa au Njombe ina tofauti gani na Kagera?
 
Nimemisi cocktails za paradiso na mandazi ya jehanamu achana na grants za kuzimu
 
Back
Top Bottom