Hamna aliyewatenga shida utashi wenu wana Kagera wa kutowekeza kwenu! Angalia hata mindset yako ilivyo! Kwa hili usitafute mchawi! Kama miundombinu ipo barabara, airport, Lake ports na kama vyuo mnajengewa na serikali! Nyie ni mabingwa wa biashara za magendo kutoroshea Uganda muulize Bashe!
Mkoa kama Kilimanjaro unaofanana kwa mazao ya kilimo japokuwa Kagera rutuba yake haina upinzani, taasisi nyingi za elimu ni matokeo ya kuji-organise wao wenyewe aidha kupitia uongozi wa kichifu au KNCU au churches! Au chukua mfano wa mikoa kama Iringa au Njombe ina tofauti gani na Kagera?