Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kagera. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengineMkoa wa Kagera uko Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, ukipakana na nchi za Uganda, Rwanda, na Burundi. Mkoa huu pia unazunguka sehemu ya Ziwa Victoria. Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, Mkoa wa Kagera una takriban watu 2,989,713.
MUHTASARI WA MAENEO YA UTAWALA, MKOA WA KAGERA
Katika muhtasari wa maeneo ya utawala, mkoa huu una halmashauri ambazo zimegawanyika katika mamlaka za miji na wilaya.
SOMA PIA: Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mkoa wa Kagera una jumla ya Wilaya 8 ambazo ni
- Bukoba Vijijini
- Bukoba Manispaa
- Biharamulo
- Muleba
- Karagwe
- Kyerwa
- Ngara
- Missenyi
- Jimbo la Bukoba Mjini
- Jimbo la Bukoba Vijijini
- Jimbo la Biharamulo
- Jimbo la Muleba Kusini
- Jimbo la Muleba Kaskazini
- Jimbo la Karagwe
- Jimbo la Kyerwa
- Jimbo la Ngara
- Jimbo la Nkenge
Viunganishi vinavyohusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 mkoa wa Kagera
- Uchaguzi Serikali za Mitaa: Hakuna kupita bila kupingwa, atakapopatikana mgombea mmoja, atapigiwa kura za ndiyo au hapana
- Ado Shaibu: ACT Wazalendo, CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani tuungane kuing'oa CCM madarakani
- Waziri Mchengerwa: Hakuna Uthibitisho wa madai ya Uandikishaji Wanafunzi Kupiga Kura
- Waziri Bashungwa aongoza uhamasishaji Wananchi wa Karagwe kujiandikisha Daftari la Wapiga Kura
- Mbunge Ndasaba Ruhoro ashuhudia ugawaji wa Miche ya Kahawa Ngara, ahamasisha kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
- Kagera: RC Mwassa atembea na visheti kuhamasisha Uchaguzi Serikali za Mitaa. Hii ni Rushwa!
- Kada CHADEMA Kagera auawa akingojea Uteuzi
- LGE2024 - Bukoba: Mgombea wa ACT Wazalendo aenguliwa kwenye kinyang'anyiro kisa kushindwa kuelezea wadhfa anaoenda kugombea
- LGE2024 - Mbunge Byabato atumia Lugha za kichina, Kijerumani, Kifaransa, Kiingereza, Kiswahili na Kihaya kuwanadi wagombea wa Serikali za Mitaa
- LGE2024 - Faris Buruhani: CHADEMA Mkoa wa Kagera Hawatashinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Labda Washinde Njaa
- LGE2024 - Faris Buruhani: CCM Hatuachi Kitu Novemba 27
- LGE2024 - Missenyi: Mbunge wa Nkenge, Florent Kyombo aomba kura nyumba kwa nyumba
- LGE2024 - UVCCM Kagera Faris Buruhani: Viongozi wa dini wahimizeni waumini kushiriki Uchaguzi Serikali za Mitaa
- LGE2024 - Kagera: Bashungwa ashiriki zoezi la kupiga kura