Analog
JF-Expert Member
- Apr 4, 2024
- 323
- 618
Mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi Kilima wilayani Bukokaa, Elius antony(13), anadaiwa kuuawa kwa kukatwa na panga shingoni kisha mwili wake kutupwa kichakani.
Kamanda wa polisi mkoa wa Kagera Blasius Chitanda, amesema uchunguzi unaendelea kubain chanzo cha mauaji hayo.
Akisimulia tukio hilo mama mzazi wa mtoto huyo Betrida Antony, amesema mara ya mwisho kijana alikwenda na baba yake kuchoma mkaa porini kisha alirudi kufuata simu na sh. 10,000 kwa ajili ya matumizi.
Amesema baba yake aliporejea alipokelewa na salamu za pole kwa majirani kuhusu kupotea kwa mtoto.
"Baada ya muda mfupi alifika mwenyekiti wa kijiji na kumchukua baba yake na kumpeleka kichakani ambako mwili ulionekana ukiwa umejaa nzi" amesimulia.
Fikra zangu: nina mashaka na hiyo elfu 10 na simu ndio sababu.