Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Mbona kama kuna watu wame-targetiwa kutokana na tangazo hili?
Jeshi la polisi mkoani Kagera limewataka wananchi wa mkoa huo kushiriki uchaguzi wa serikali za mtaa kwa utulivu kwakuwa limeimarisha ulinzi na usalama kwenye maeneo yote ya mkoa huo kuelekea kwenye siku ya uchaguzi huo utakaofanyika nchi nzima Alhamisi Novemba 27, 2024.