Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

Mi yani Utopo siku hzi hata wafunge hata hainiumi sijui kwa sbb naona hizo unbeaten zao ni za mchongoo 😀 😀 😀 😀 ?? Nawaacha wajifurahishe tuu hizi mambo huwa zina mwisho.
 
Nilishangaa ile siku unanishambulia bule kisa mtazamo wangu umekuwa tofauti na Wana Lunyasi wengine...
Hakuna timu nisiyoipenda kama hawa Wala mihogo..
Leo wamepata bahati tu ila Kagera wamewapelekea moto paka hawaaamini kama wameshinda
Hawana jipya hawa. Pole aisee yani nilidhani ww ni jitopolo fulani hivi. Tena na hyo picha uloweka inavyoniudhi sasa 😀 😀 😀 😀
 
Kuna watu wanajiongopea/wanasubiri kuna timu itaifunga Yanga,..watsubiri sana.Mechi ya leo ni uchovu wa wachezaji.
 
Nyie mshukuruni Mungu bahati ilikua yenu baaasi mengine mpunguze midomo.
 
Nyie mshukuruni Mungu bahati ilikua yenu baaasi mengine mpunguze midomo.
Utopolo wamechoka na safari, yaani baada ya kucheza na wale Waarabu hawakupata muda wa kufanya tena mazoezi na kupumzika, yaani mazoezi baada ya ile mechi na Waarabu walifanya jana jioni.

Wamejitahidi sana, TFF walijua leo Utopolo watafungwa imekuwa rofauti.
 
Sisi WAHUNI wa Tiefuefu tulijua leo Utopolo watapoteza mechi sababu ya uchovu na hatukutaka kuahirisha hii mechi imekuwa vinginevyo.

Sasa sijui tutumie mbinu gani.

Ebu tushaurini!
Si unajua Waswahili walisema "Yatima hadeki" hata hiyo Tiefuefu watumie mbinu gani Wananchi ni mbele kwa mbele
 
Kwani ww sikuhizi sio utopolo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…