Kagera Sugar sukari halisi ya Tanzani

Kiporo kilisubiri sukari iagizwe kagera +gharama ya usafiri+kodi watumiaji wamedhamiria kutumia kijiko kimoja kwa vikombe viwili
 
Kwa kweli wana Simba itabidi tuandamane hadi kwa rais wa TFF kumuomba Kagera sugar washushwe daraja,haiwezekani kila mara watudhalilishe mpaka mbele ya Rais vMagufuli,na juzi wamechukua point zote sita. Hata haiwezekani,washushwe daraja.
Sukari hii inauzwa msimbazi kwa bei kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…