Uongozi wa Kagera Sugar umetangaza unataka dau la milioni 200 kama ada ya uamisho ya mchezaji wao kwenda Simba SC.
Iko hivi...
Simba waliweka dau la milioni 35 kwa Kagera Sugar kuvunja mkataba wa mwaka 1 uliosalia wa Yusuf Mhilu uku Kagera Sugar wakitaka milioni 50 wakiwa bado kwenye mazungumzo Simba ilitangaza kumsajili kijana huyu kitendo hicho kiliwaudhi Kagera Sugar na kuona ni dharau na kuvunja mazungumzo.
Kuona hivyo Yusuf Muhilu akapita mlango wa nyuma kwenda TFF kuukana mkataba huo. TFF ikaita pande zote 2 baada ya mapitio ilabainika Yusuf Mhilu bado anamkataba halali wa mwaka 1 kuitumikia Kagera Sugar. Kagera Sugar imetishia kuishitaki Simba FIFA na kupandisha dau la uhamisho huo kuifikia milioni 200.
Note: Kagera Sugar kijana Muhilu hana thamani ya milioni 200 mnachotaka kufanya ni kumkomoa na kuikomoa klabu ya Simba.
Muacheni kijana akapate malisho bora
View attachment 1895565