Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Noma kweli !Sisi tunapenda wachezaji wa nje pasipo kukali viwango ni haya ya kina konkoni
Kennedy je?Ni kweli kwamba tunahitaji wachezaji wa kigeni, lakini hatuhitaji Wachezaji wanaohujumu timu zao zinazowalipa kwa sababu ya Rushwa.
Mimi ni Simba lakini sikubaliani na aibu hii ya Kagere, tunapenda Ushindi wa haki.
Tukiruhusu huu ujinga tutadumaza soka la Tanzania.
AsanteMnamuhukumu bure tu Kagere ila kabla ya kufika huko walau ungepitia rekodi zake kwenye upigaji wa penalti
Kagere hata wakati yupo Simba alikuwa na upigaji mbovu wa penalti ikitokea amefunga ilikuwa kama zari tu lakini kiufundi alikuwa bado.
Simba walikuwa wanampa nafasi apige kutokana na advantage ya kuwa kinara wa mabao
Penalti aliyokosa leo Kagere ndio penati ile ile aliyokosa 2020 tulipocheza na Biashara katika mechi ambayo tulipata ushindi wa 3-1
2021 mapinduzi tulitolewa na Yanga kwa penalti ambazo mbili kati ya hizo tulizokosa ilikuwa ni moja ya Kagere
Hata kule Sumbawanga katika mazoezi ya Simba kwenye upigaji wa penalti tuliona style ileile ya Kagere na kama kawaida yake alikosa.
Sioni sababu ya kumshutumu kuwa ameihujumu timu kwa viwango vya kutaka atimuliwe Tanzania kwenye kitu ambacho ni desturi yake katika background records.
AsanteMnamlaumu jamaa,kuna video inaonyesha vizuri alivyopiga mpira alikosa haukujaa mguu,nadhani alikuwa na papara, ila jamaa aliukosa mpira haukujaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kibwege vile ! Khaaa !!Penalty alikosa baggio ,sembuse kagere
Ova
Jiangalie sana !Utopolo wanalalamika hovyo leo.
Wewe sasa ndo unajua soka,hao wengine ni mungu nisaidie tu maskiniMnamuhukumu bure tu Kagere ila kabla ya kufika huko walau ungepitia rekodi zake kwenye upigaji wa penalti
Kagere hata wakati yupo Simba alikuwa na upigaji mbovu wa penalti ikitokea amefunga ilikuwa kama zari tu lakini kiufundi alikuwa bado.
Simba walikuwa wanampa nafasi apige kutokana na advantage ya kuwa kinara wa mabao
Penalti aliyokosa leo Kagere ndio penati ile ile aliyokosa 2020 tulipocheza na Biashara katika mechi ambayo tulipata ushindi wa 3-1
2021 mapinduzi tulitolewa na Yanga kwa kupoteza penalti mbili, ambazo mbili kati ya hizo tulizokosa moja ilikuwa ni ya Kagere
Hata kule Sumbawanga katika mazoezi ya Simba kwenye upigaji wa penalti tuliona style ileile ya Kagere na kama kawaida yake alikosa.
Sioni sababu ya kumshutumu kuwa ameihujumu timu kwa viwango vya kutaka atimuliwe Tanzania kwenye kitu ambacho ni desturi yake katika background records.
Hii ya leo ni ya makusudi mkuuMnamuhukumu bure tu Kagere ila kabla ya kufika huko walau ungepitia rekodi zake kwenye upigaji wa penalti
Kagere hata wakati yupo Simba alikuwa na upigaji mbovu wa penalti ikitokea amefunga ilikuwa kama zari tu lakini kiufundi alikuwa bado.
Simba walikuwa wanampa nafasi apige kutokana na advantage ya kuwa kinara wa mabao
Penalti aliyokosa leo Kagere ndio penati ile ile aliyokosa 2020 tulipocheza na Biashara katika mechi ambayo tulipata ushindi wa 3-1
2021 mapinduzi tulitolewa na Yanga kwa kupoteza penalti mbili, ambazo mbili kati ya hizo tulizokosa moja ilikuwa ni ya Kagere
Hata kule Sumbawanga katika mazoezi ya Simba kwenye upigaji wa penalti tuliona style ileile ya Kagere na kama kawaida yake alikosa.
Sioni sababu ya kumshutumu kuwa ameihujumu timu kwa viwango vya kutaka atimuliwe Tanzania kwenye kitu ambacho ni desturi yake katika background records.
Baki na mambo ya miswada. Huku utayumbaNi kweli kwamba tunahitaji wachezaji wa kigeni, lakini hatuhitaji Wachezaji wanaohujumu timu zao zinazowalipa kwa sababu ya Rushwa.
Mimi ni Simba lakini sikubaliani na aibu hii ya Kagere, tunapenda Ushindi wa haki.
Tukiruhusu huu ujinga tutadumaza soka la Tanzania.
Wewe sio Simba,kagere kakosea kama alivyokosea kenedyNi kweli kwamba tunahitaji wachezaji wa kigeni, lakini hatuhitaji Wachezaji wanaohujumu timu zao zinazowalipa kwa sababu ya Rushwa.