Kama ukipata nafasi ya kumshauri kocha wa simba kiufundi je nani aanze kwenye first eleven Kati ya Kagere na Mugalu ungempendekeza nani?
Mana kuna mijadala Mingi inaendelea kwamba Mugalu kazi kuwazuia mabeki wasiende wasipande lakini hafungi ila mk 14 yeye anafunga kwenye baadhi ya mechi.
Mimi naona mfumo wa mwalimu gomez ndio anamuhitaji zaidi Mugalu kwa sababu hupendelea lonely striker but turudi kwa uchebe yye twin strikers ndio walikuwa debatable.
All in all kagere ni bora kwa data kwani amekuwa top score mara mbili