Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Wakati Simba wanamchukua tulisema babu, mzee hafai n.k lakini huyu jamaa ana sifa zote mbaya na za binadamu katili asiyefaa kuwahi tokea katika soka la Tanzania.
Sijajua zaidi niseme nini .. mengine semeni nyie ila mimi namchukia sana huyu jamaa.
Sijajua zaidi niseme nini .. mengine semeni nyie ila mimi namchukia sana huyu jamaa.