Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Yaani anakera sana, hasa katika kuvaa vikukuWakati Simba wanamchukua tulisema babu,mzee hafai n.k lakini huyu jamaa ana sifa zote mbaya na za binadamu katili asiyefaa kuwahi tokea katika soka la tanzania.
Sijajua zaidi niseme nini .. mengine semeni nyie.ila mimi namchukia sana huyu jamaa.
Hakuna kama Kagere Afrika ya Mashariki, amefunga goli 6 katika ligi ya Mabingwa Africa iliyoisha May mwaka huu akiwa mfungaji bora namba 2, baadhi ya timu alizozifunga mwaka huu ni pamoja na hiyo ulioitaja Al Ahly angaliaIlifaaa awe anakutana na Al Ahly,Casablanca,mazembe,Lakin kama alishindwa kutoboa ngome ya UD songo.......kwa hakika huyu ni kufikiria mara 2.Unategemea ashinde kufunga mechi na Alience,Ndanda,Singida,polisi,halafu mshahara mil 12?
Kipimo sahihi cha simba ilikuwa ni wahuni wa UD songo baasi.Ila hao Biashara aaah!atafunga sana.Shida ni UD songo baasi
Hakuna kama Kagere Afrika ya Mashariki, amefunga goli 6 katika ligi ya Mabingwa Africa iliyoisha May mwaka huu akiwa mfungaji bora namba 2, baadhi ya timu alizozifunga mwaka huu ni pamoja na hiyo ulioitaja Al Ahly angaliapia angalia Unafahamu ya kwamba Mwaka huu Simba wame mboreshea mkataba wake ambao ulikuwa uishe Juni 2020 na sasa atakuwepo hadi Juni 2021? na huo mshahara wa milioni 12 kwa mwezi ulikuwa wa mkataba wa mwaka jana, sasa umeboreshwa.
Kushindwa kuifunga UD Songo siyo issue labda kama ni kilaza wa mambo ya kabumbu, Hao akina Messi, Ronaldo hufululiza hata mechi 7 bila kufunga itakuwa Kagere. Hata hivyo rekodi ya Kagere toka ajiunge na Simba Mwaka jana hakuna aliyeifikia ligi ya bongo miaka 10 iliyopita Magoli 23 ligi ya bara na sasa bado anaendelea tayari kafunga mechi magoli mechi 5 mfululizo
Umeiacha gogowazi hapo kwenye list..maana nao aliwatungua vilivyo..!Kagere hovyo kabisa mpaka acheze na Namungo, Ndanda, Njombe Mji ndio anafunga . Mechi muhimu na UD SONGO dakika 180 hakupiga hata shuti moja golini.
Mkuu straika bora ni late Masamaki ThomasAhaa.Ndo ujue sasa kakutana na wabovu wenzie akikutana na vigongo kama UD songo anapotea.Kwa sababu mechi ile alipotea hata hivyo kupotea mechi 2 sio sababu.Lakin kwa mimi najua Kagere kwa simba inaweza kuwa ndo bora wa muda wote ila kwa Yanga tuna watu kama Ben Mwalala,Bony Ambani,Jerry Tegete, hao ni baadhi ya mastraika bora zaidi kuwahi kutokea kwa ligi ya Bongo.
Mkuu straika bora ni late Masamaki Thomas
Anarekodi ya kufunga 25+ goals per msimu
Acha kufananisha Kagere na uchafu wakina TegeteAhaa.Ndo ujue sasa kakutana na wabovu wenzie akikutana na vigongo kama UD songo anapotea.Kwa sababu mechi ile alipotea hata hivyo kupotea mechi 2 sio sababu.Lakin kwa mimi najua Kagere kwa simba inaweza kuwa ndo bora wa muda wote ila kwa Yanga tuna watu kama Ben Mwalala,Bony Ambani,Jerry Tegete, hao ni baadhi ya mastraika bora zaidi kuwahi kutokea kwa ligi ya Bongo.
Hapa hawarudi tena Yanga point 7 Kagere goli 7.Idadi ya mgori yake sawa na points za Yanga. Msimu huu anaweza kutikisha magoli 50
Mbona hujasema shida ni yanga...naona ukikumbuka jinsi alivyowatoboa yanga unaweweseka mkuuIlifaaa awe anakutana na Al Ahly,Casablanca,mazembe,Lakin kama alishindwa kutoboa ngome ya UD songo.......kwa hakika huyu ni kufikiria mara 2.Unategemea ashinde kufunga mechi na Alience,Ndanda,Singida,polisi,halafu mshahara mil 12?
Kipimo sahihi cha simba ilikuwa ni wahuni wa UD songo baasi.Ila hao Biashara aaah!atafunga sana.Shida ni UD songo baasi
Hapo kwenye namungo,ndanda,njombe mji,ongezea na yanga mkuuKagere hovyo kabisa mpaka acheze na Namungo, Ndanda, Njombe Mji ndio anafunga . Mechi muhimu na UD SONGO dakika 180 hakupiga hata shuti moja golini.
Kwa hiyo yanga ni moja kati ya wabovu aliokutana nao???Ahaa.Ndo ujue sasa kakutana na wabovu wenzie akikutana na vigongo kama UD songo anapotea.Kwa sababu mechi ile alipotea hata hivyo kupotea mechi 2 sio sababu.Lakin kwa mimi najua Kagere kwa simba inaweza kuwa ndo bora wa muda wote ila kwa Yanga tuna watu kama Ben Mwalala,Bony Ambani,Jerry Tegete, hao ni baadhi ya mastraika bora zaidi kuwahi kutokea kwa ligi ya Bongo.