Kagoda: Ni Rostam

Nimeisoma cheche, hii kweli ni cheche, 'you have nailed it' right Mkijiji keep it up bro!

Naona sasa kelele za mlango mwenye nyumba usingizi lazima uishe tu!
 
Kuna habari nyingine zinaanza kutiririka taratibu sasa hivi.....

Mkuu M.M.M, mbona unataka tusirudi nyumbani leo manake imekuwa a very interesting and active day in JF..... Viva JF, Viva wapigania haki na usawa wote.......

Lete maneno Mkuu nasi tutazidi kuhabarisha jamii kwa hili swala zima la MAFISADI....
 
MKJJ, hongera kwa kuweka mambo waziiiiii....hi kopi ya cheche inawezaje kumfikia Eleazer Feleshi?? na Mwanyika?? na Hosea??

Maana si wanataka ushahidi na BRELA jalada limepotea, basi cheche iwajuze.

Leo JF pamekuwa mahali bora kabisa pa kujua ukweli wa kilicho nyuma ya pazia ya siasa za Tanzania.
 
Tumechoka na huu umafia,pia waziri mkuu bado namuheshimu sana lakini asinifanye nikafika mahali nikaanza kumchoka.Yeye nae amekua akihamasisha juu ya uvumilivu tu na kutishia kwamba hili likiwa hivi taifa liko hatarini mara vile,mbona anawajengea wananci hofu?


Nasema Watanzania kuna haja ya kupandisha hasira kama kipindi kile tulipochokozwa na Idd Amini,hasira zile zilikomesha uchokozi kutoka hata kwa nchi nyingine dhidi yetu.sasa kwenye hili suala la ufisadi na juu ya CCM tunahitaji kupisha ghadhabu zaidi ya hizo ili kukomesha kabisa huu unyonyaji
 
Sasa tuone basi kama watafungia na kijarida cha cheche,kweli moto unawamulika.

Kwanza kingunge nimemuacha sana,hiki kizee si ndicho kilichokua kikitishia wale wabunge mwiba wa CCM waliokua wanapambana na ufisadi.Kumbe kalijua moto utakakuta,sijui kana faida gani katika jamii hii.Serikali isije ikasema ati ni mzee wetu mwenye heshima katika taifa hili,Natangaza rasmi heshima kwa wazee kama hawa ni kurudisha taifa nyuma.CHA MSINGI HUYU anastahili kumalizia miaka yake iliyobaki gerezani
 
Umefika wakati sasa wa kuiangalia upya hii UWT kwani dalili zote zinaashiria kwamba imegeuzwa Usalama wa Mafisadi.
 
Piga risasi tu huyu Kingunge. Hakuna mzee ninayemchukia with passion kama huyu. Let me get my g-n.
 
After reading Cheche, hisia nilizopata ni masikitiko yasiyo na kipimo. Nashangaa kwamba serikali inadai kujulikana kwa wamiliki wa Kagoda kutaleta machafuko nchini, is it because Mkapa alihusika? au kwa kuwa Apson Mwang'onda alihusika? Kufahamu kuhusika kwao hakujanipa wasiwasi wala woga wowote zaidi ya masikitiko ya kuona kwamba Rais wa nchi aliyechaguliwa na kula kiapo cha kulinda maslahi ya Taifa ndiye anaongoza kikao cha maharamia kwa kushirikiana na mkuu wa usalama wa taifa ili kupanga jinsi ya kuiibia nchi. This is just sickening, i'm about to puke.

And BTW, if all this started right after kifo cha Mwalimu Nyerere, can anyone argue that Mkapa didn't have motives za kutaka Mwalimu kuwa dead? Just thinking out loud (TOL).
 

Mengine siyajui, lakini ninachojua kwa hakika ni kuwa kama Mwalimu angekuwa hai mwaka 2000, Mkapa asingepata kipindi kingine cha miaka mitano na kuna uwezekano mkubwa angeikimbia nchi. Heko MKJJ na cheche izidi kutema cheche za moto ziwachome hao manyang'au hadi wawe majivu.
 
Jamani Apson EL na RA hawagusiki, hamsikii tu nyie wapigakura?
 
Umefika wakati sasa wa kuiangalia upya hii UWT kwani dalili zote zinaashiria kwamba imegeuzwa Usalama wa Mafisadi.

Na huyu jamaa wakiendelea kumlazia damu na kumuacha aendelee kupeta uraiani atatoroka nchini kama yule fisadi wa Rada Vethalani.
 
Mwanakijiji hii ni kali, kweli hapa government presecutor umeshampa case.

Huyu Cornel Apson Mwang'onda miaka michache iliyopita alikuwa si tajiri kabisa ghafla tu akaibuka na kuwa na utajiri wa kutisha. Sijui mishahara ya huko UWT lakini haiwezekani mishahara ya huko na marupurupu ndiyo yalimfanya awe tajiri wa kupindukia katika kipindi kifupi. Je, utajiri huo wa kutisha aliuchuma vipi? Watanzania tungependa kufahamu.
 


EPA hiyo Mkuu BAK. Unashangaa ya Apson Mwang'onda? Ya Lukaza Je? Malegesi hata kama ana law firm but si ya kumpatia fedha kiasi nicho? Kuna siku Malegesi alikuwa anazungumza na jamaa mmoja nikasikia live akimwambia kuwa amenunua apartment for 3 bn. Wakati huo alikuwa na Apartments nyingine tayari!!! Ameanza ufisadi siku nyingi sana. Hivi ile kesi ya Lukaza ya Wizi Mwanzasi na Malegisi anahusika? Hawa ni friends kutokana na dili zao. Kunguru mweupe huruka na Kunguru mweupe? Mifisadi yote utajiri wao ni wa kutatanisha. Eti wanajidai wanakopa benki, waongo hawa. Riba wataziweza? Sasa tuone jinsi wengi wao wataaanza kuporomoka kibiashara. Yangu macho.
 


Najsikia kama naumwa tumbo la kuharisha baada ya kuona Jina la Aggrey Mareale. Yaani huyu kijana ambaye inasemekana ni miongoni mwa wataojitosa kugombea Ubunge pale Moshi 2010 naye yumo! Yaani serikali inatuambia imeshindwa kumkamata? Siamini!

Hawa wengine De Merwe (Nadhani huyu ni Kaburu) mbona hajashitakiwa (au labda sijui kwa kuwa niko mbali). Nadhani pia amewahi kutajwa na Ndugu zake Balali kuwa ni shareholder na Balali katika kampuni mojawapo hapa nchini.

Huyu Mareges naye katajwa kakwapua mahela mengi (ni mmiliki wa kampuni nyingi zinazohusishwa na EPA) mbona naye hajakamtwa? Kulikoni.

Rostam tunamtarajia kizimbani wakti wowote na kama JK na serikali yake watashindwa kumsimamisha kzimbani hatutamwelewa kabisa bila kujali kile ambacho ameshanza kuwafanyia Mafisadi wengine.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…