kwanza samahani naanza kwanza na wewe, unamshauri huyo dada amtoe mtoto ake akiwa mdogo hivo? To me sio sawa!! Huyo baba atumie akili za kiume hapo, kama kweli anamtaka mtoto atoe matumizi na amlee mtoto vya kutosha akiwa kwa mama ake.
Kwa sababu mtoto ameshazaliwa sitakiwi kusema sana, lakini mkataba waliowekeana hawa watu sio mzuri. Mtoto wa binadamu sio kama wa mnyama useme utamtenganisha na mama yake hivi hivi tu.
Yaani hadi sasa haujalala kesho kesi mimi na weweyo veeery rite. Kikubwa amhudumie tu mpaka akue
Nimewaelewa, sasa kwa nini huyu dada alikubali hiyo dili halafu sasa hivi ameleta matatizo makubwa sana. Baada ya kuona kuwa anapewa matumizi makubwa kwa matunzo ya mtoto kwa mwezi na wanandoa hawa maisha yake yamekuwa mazuri. Tunahisi anataka kumtumia mtoto kama mtaji. Najua kuwa ana uchungu na kiumbe wake,lakini baba mtu je?? its crazy wajameni. Kibaya zaidi ucku wa manane anapiga simu kwa wanandoa hawa kuwa mtoto kazidiwa baba wa watu huyooo, kumbe uongo. Can u imagine this?
Nimewaelewa, sasa kwa nini huyu dada alikubali hiyo dili halafu sasa hivi ameleta matatizo makubwa sana. Baada ya kuona kuwa anapewa matumizi makubwa kwa matunzo ya mtoto kwa mwezi na wanandoa hawa maisha yake yamekuwa mazuri. Tunahisi anataka kumtumia mtoto kama mtaji. Najua kuwa ana uchungu na kiumbe wake,lakini baba mtu je?? its crazy wajameni. Kibaya zaidi ucku wa manane anapiga simu kwa wanandoa hawa kuwa mtoto kazidiwa baba wa watu huyooo, kumbe uongo. Can u imagine this?
hii post imetosheleza kabisa kujibu hii sredi, tunaomba sredi ifungwe rasmi.Kwanza samahani naanza kwanza na wewe, Unamshauri huyo dada amtoe mtoto ake akiwa mdogo hivo? To me sio sawa!! Huyo baba atumie akili za kiume hapo, kama kweli anamtaka mtoto atoe matumizi na amlee mtoto vya kutosha akiwa kwa mama ake.
Kwa sababu mtoto ameshazaliwa sitakiwi kusema sana, lakini mkataba waliowekeana hawa watu sio mzuri. Mtoto wa binadamu sio kama wa mnyama useme utamtenganisha na mama yake hivi hivi tu.
Aisee hapa wala hatuitaji maombi wala kuomba, akili tulizopewa na Mungu zinatosha hapa. Usitegemee huyo bi mkubwa akawa na heshima kwa bi mdogo hata siku moja, bi mdogo ana mtoto huyo mwingine hana. Kama we Msomaji wa biblia Sara mke wa Ibrahimu alikuwa duni kwa kijakazi wake ingawa ni yy alimruhusu Ibrahimu aingie kwake.
Haiwezekani mtoto wa umri huo akae mbali na mama yake akiwa yupo hai, tena anaweza. Hata sheria hairuhusu.
Huyu baba lazima awe attention na maswala ya mtoto, hata kutoroka saa sita za usiku kwa sababu ndo mtoto pekee aliye nae.Haijalishi amedanganywa au hajadanganywa.
Hakuna cha makubaliano hapo, walikubaliana jambo ambalo haliwezekani kabisa. So wewe pamoja na mwenzio tumieni akili ya kiume hapa, mtoto na mama ake waendelee vizuri. Na kama anaipenda ndoa yake aipiganie pia.
Acha kuwashauri wenzio vibaya, hakuna mtoto anaetengwa na mama yake akiwa mdogo hivo!!
Nalala kesho nikute umebadilisha mawazo ulionayo juu ya huyo mama mtoto.
Mie pia ni msuluhishi tu na nimeshindwa kabisa ndo maana natafuta masaada. Tumeshaenda hadi kwa wachungaji na wazee wote wa ukoo bila mafanikio. I am feeling sorry kwa rafiki yangu maana hawakutegemea na mkewe kuwa huyu bibie angewageuka baada ya mtoto kuzaliwa. Hii kitu ya ya kuzaana kutoa mtoto alelewe na baba yake mbona ipo sana. Pkease tuangalie pande zote mbili.
Ingekuwa wewe ndio huyu mke wa ndoa usiezaa ungefanyaje? huyu mwanamke mwingine hatambuliki kokote na hana uhusiano wowote na baba mtoto. Huu mwka wa tatu tunapiga kwata hadi mtoto keshajua mama yake halisi.
Wewe unawashauri kama nani kwanza?? Ulikuwepo wakati wanaandikiana huo mkataba???
Halafu watoto mbona sio shida sana waende msimbazi centre au mburahati kuna watoto wachanga kabisa pale unajichagulia tu kisa cha kuleta mwanamke mwingine nini???
Huo uamuzi si sahihi. na una hakika mwanaume hana shida yoyote?? Wamethibitisha hospital??
Mambo mengine sio uchawi ni akili zetu wenyewe zinakuwa finyu
Pole yake muathirika, huyo baba alikua anawaza nini kumwambia huyo dada kwamba tuzae mtoto halafu utupe tumlee mimi na mke wangu? kwanza kitendo cha huyo mdada kumkubalia tu ilikuwa inamaanisha kuna kitu anataka kutoka kwao so aliwawekea mtego maridhawa. Na huyo baba inaonyesha alikurupuka tu hakuomba ushauri kwa watu hasa wazazi na wengi tu waliomzidi umri. Hata kama angekua hatoi matunzo ni ngumu sana mama abebe mimba na mikash kash yote ya ujauzito achilia mbali kujifungua alafu aje akupe mtoto. Huyo baba hakushangaa hata mtoto alivyo mchungu mtu azae akupe hiyo ni ngumu. Ni bora angekubali kuzaa na mtu wakubaliane akifika umri wa miaka saba ndio apewe ila kwa upande wa huyo mama yuko kibiashara zaidi kwani alijua kabisa hawezi kutoa mtoto alelewe na mama mwingine. yeye ndKwa huyo baba namshauri apoe tu matumizi awe ananunua yeye asimpe mama pesa na mtoto akiumwa io aende ampeleke hospitali na kutoa gharama asimpe huyo dada hata senti nusu kwani huyo dada ni mshenzi (mtanisamehe wadada) ila huyo baba suala la kupewa mtoto kabla ya miaka saba alifute kabisa akilini mwake. NITARUDI
Sidhani kama inawezekana hili. Wakubali tu wote walikosea, baba ampe mama matumizi ya mtoto kama anavyostahili tu.
Nina rafiki yangu huu mwaka wa kumi na sita kaoa ila mkewe wa ndoa bahati mbaya hazai, jamaa yeye hana tatizo. Mkewe kamruhusu baada ya yeye kumwomba azae nje then amchukue kachanga huyo wamlee wao kama mtoto wao. Mtoto kazaliwa nje ya ndoa sasa ana miaka mitatu ila huyu mwanamke pamoja na kuingia mkataba na wanandoa hawa kagoma kumtoa mtoto mwaka wa tatu sasa na ndoa ya watu iko hati hati kuvunjika maana huyu bibie mdogo anawavuruga sana. Nimejaribu kusuluhisha kwa kila namna imeshindikana na kumbembeleza bibie kasema mtoto hatoi. Naombeni mawazo yenu.Thanx in advance.