Kijiji cha Kagunga
Kata ya Kasekese
Wilaya ya Tanganyika 50211
WAKULIMA WAANGUA KILIO KWA RAIS SAMIA WAFYEKEWA MAHINDI YALIYOZAA
View: https://m.youtube.com/watch?v=__MWE5flqWo
Wananchi walia kunyanyaswa wapigwa, wabebeshwa matofali kijiji cha Kagunga, kata ya Kasekese Tanganyika.
Fidia bado hawajalipwa wanalazimishwa kuondoka kwa mazao yao ya mahindi kufyekwa
Wananchi wanasema serikali na pia chama tawala CCM wanatambua mradi huo ulipoasisiwa mamlaka zote zilitambua uwepo wao kabla ya mradi.
Lakini makubaliano ya fidia au kupewa maeneo mapya bado hayajatekelezwa na mradi wa serikali lakini tayari wanafurumushwa kutoka maeneo yao bila fidia ...