Uchaguzi 2020 Kahama Mjini wanaCCM 60 wanaogombea Ubunge wapewa onyo kali kwa kujihusisha na rushwa

Uchaguzi 2020 Kahama Mjini wanaCCM 60 wanaogombea Ubunge wapewa onyo kali kwa kujihusisha na rushwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wagombea 60 wa ubunge jimboni Shinyanga Mjini wamepewa onyo kali baada ya kujihusisha na vitendo vya rushwa.

Katibu wa CCM mkoani Shinyanga amesema atalifutilia mbali zoezi la kura za maoni kama wagombea wataendeleza vitendo hivyo haramu vya kununua kura

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Watu wana tamaa Sana, huyu Patrobas kwa huruma za JPM alishapata ka ulaji ka kuendesha maisha yake. Ila roho ya tamaa hua ipo tu.
 
lkn kwa nini wanaogombea wanatoa fedha ili wateuliwe?
kwa nini mnatoa rushwa?!
dah! bado tunasafari ndefu ktk kutokomeza rushwa haswa rushwa ktk chaguzi, hakuna rushwa mbaya kama ya uchaguzi.
 
Watu wana tamaa Sana, huyu Patrobas kwa huruma za JPM alishapata ka ulaji ka kuendesha maisha yake. Ila roho ya tamaa hua ipo tu.
Anataka kuoa so kamshahara ka DC hakatatosha kulisha familia!
 
Watu wana tamaa Sana, huyu Patrobas kwa huruma za JPM alishapata ka ulaji ka kuendesha maisha yake. Ila roho ya tamaa hua ipo tu.

Na tena katika jiji kubwa kama Dodoma kwa sasa alikua atulie zake tulii karibu na waridi anatengeneza CV ukuu wa mkoa haukua Mbali

Sema hizo kazi zina presha sana saivi watu wanazikimbia
 
Wagombea 60 wa ubunge jimboni Shinyanga mjini wamepewa onyo kali baada ya kujihusisha na vitendo vya rushwa.

Katibu wa CCM mkoani Shinyanga amesema atazifutilia zoezi la kura za maoni kama wagombea wataendeleza vitendo hivyo haramu vya kununua kura.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Hujaeleweka,"atazifutilia zoezi la kura za maoni"soma tena na uediti ulichoandika halafu urudi tena!!!
 
Back
Top Bottom