johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Anataka kuoa so kamshahara ka DC hakatatosha kulisha familia!Watu wana tamaa Sana, huyu Patrobas kwa huruma za JPM alishapata ka ulaji ka kuendesha maisha yake. Ila roho ya tamaa hua ipo tu.
Watu wana tamaa Sana, huyu Patrobas kwa huruma za JPM alishapata ka ulaji ka kuendesha maisha yake. Ila roho ya tamaa hua ipo tu.
Ule ushauri aliopewa na Mwenyekiti angejiongeza pale pale akaomba mchango wa harusi mbona angepiga dili.Anataka kuoa so kamshahara ka DC hakatatosha kulisha familia!
Hujaeleweka,"atazifutilia zoezi la kura za maoni"soma tena na uediti ulichoandika halafu urudi tena!!!Wagombea 60 wa ubunge jimboni Shinyanga mjini wamepewa onyo kali baada ya kujihusisha na vitendo vya rushwa.
Katibu wa CCM mkoani Shinyanga amesema atazifutilia zoezi la kura za maoni kama wagombea wataendeleza vitendo hivyo haramu vya kununua kura.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Bungeni ndio atapata michango mingi 500,000x wabunge 300 = 150mUle ushauri aliopewa na Mwenyekiti angejiongeza pale pale akaomba mchango wa harusi mbona angepiga dili.