Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kwahiyo lile gari alilotoa Rais Samia kupitia Makonda kwa yule shehe Arusha, TAKUKURU.... au basi!
====
Kuelekea katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 Mwaka huu, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilaya ya Kahama imesema itachukua hatua za kisheria kwa wagombea watakaobainika kujihusisha na vitendo vya rushwa sambamba na matumizi ya wapambe (machawa) wanaotumika kugawa fedha na zawadi ili kuhamashisha wagombea wao waweze kuchaguliwa.
Kauli hiyo imetolewa Afisa Sheria wa TAKUKURU, Mlamuzi Kuhanda wakati na wadau wa sekta ya habari katika kikao kilichokuwa na lengo ya kuwaomba kushirikiana nao katika mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa huku mkuu wa taasisi Wilaya ya Kahama, Abdallah Urari akisisitiza juu ya uzingatiwaji wa sheria.
PIA SOMA
- LGE2024 - Shinyanga: TAKUKURU yathibitisha uwepo wa rushwa kwenye Uchaguzi. Yadokeza Machawa kupelekwa Mbuga Za Wanyama na wapinzani kuhongwa ili wajitoe
- LGE2024 - TAKUKURU hawana meno kwenye rushwa ya uchaguzi wa ndani CCM?