dubu JF-Expert Member Joined Oct 18, 2011 Posts 3,502 Reaction score 3,483 May 14, 2024 #1 Hapa ni mzani wa kahama (mwendakulima) na haya mashimo yapo unapoingia na kutoka mzani Kwa kweli ni mashimo makubwa sana na hatarishi kwa vyombo vinavyoingia kupima uzito. TANROADS kwanini wamekaa kimya?
Hapa ni mzani wa kahama (mwendakulima) na haya mashimo yapo unapoingia na kutoka mzani Kwa kweli ni mashimo makubwa sana na hatarishi kwa vyombo vinavyoingia kupima uzito. TANROADS kwanini wamekaa kimya?
The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 5,879 Reaction score 11,318 May 14, 2024 #2 Hapo vocha ya laki 4 inamaliza kila kitu ni kukoroga simple zege na kuzima.Tatizo menejea anakaa ndani akitoka ndani ya V8
Hapo vocha ya laki 4 inamaliza kila kitu ni kukoroga simple zege na kuzima.Tatizo menejea anakaa ndani akitoka ndani ya V8