Kahama: TANROADS washindwa kufukia mashimo ya Mzani yalipo mbele yao

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,483
Hapa ni mzani wa kahama (mwendakulima) na haya mashimo yapo unapoingia na kutoka mzani

Kwa kweli ni mashimo makubwa sana na hatarishi kwa vyombo vinavyoingia kupima uzito.

TANROADS kwanini wamekaa kimya?
 
Hapo vocha ya laki 4 inamaliza kila kitu ni kukoroga simple zege na kuzima.Tatizo menejea anakaa ndani akitoka ndani ya V8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…