ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #19,981
Rejea picha za Katoro zimejaa humuHapa ndio Katoro penyewe tunapopigishwaga makelele humu ndani au ni pengine? ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DFIJw1JO-bb/?igsh=MTF5bmZ4amt1Z2N1aQ==
Video ndio zinaonesha ukweliR
Rejea picha za Katoro zimejaa humu
Vigorofa vya hapa na pale..
Huto tugorofa kweli tunaweza fanana na hii? 7 floors and still counting ππVigorofa vya hapa na pale..
Ujenzi upo huku View attachment 3214983Njoon mjifunzeView attachment 3214978View attachment 3214979
Acha kufananisha massive building na vigorofa vyako vya uswahilini..Huto tugorofa kweli tunaweza fanana na hii? 7 floors and still counting ππ
View attachment 3214985
Leta takwimu za pesa nicheke ππ
Bilioni 75 itawasaidia kuondoa hizo kutu na mpangilio mchafu wa mjiLeta takwimu za pesa nicheke ππ
Mwaka huu wa 2024/2025 vinara wa Mapato ya Halmashauri kimkoa watakuwa ;
1.Dar
2.Pwani
3.Mbeya
4.Arusha
5.Dodoma
6.Mwanza
Mbeya tunaenda kupata Zaidi ya Bilioni 75 by June 2025.
View: https://www.instagram.com/p/DFX0ThktwQB/?igsh=MWJ5ZmxsMnV3anRlNw==
Mbeya mnatia huruma aisee..tujengo twa kuokoteleza ...mnazidiwa na outskirts za MWANZA kama nyamhongolo
Uyole & Mbalizi Kuna magorofa rundo yanajengwa,Kuna siku nitakuletea picha .Mbeya mnatia huruma aisee..tujengo twa kuokoteleza ...mnazidiwa na outskirts za MWANZA kama nyamhongolo View attachment 3217194
Maskini.... vijengo vilevileUyole & Mbalizi Kuna magorofa rundo yanajengwa,Kuna siku nitakuletea picha .
Anyway Bado tuko jijini View attachment 3217228View attachment 3217230View attachment 3217231View attachment 3217232View attachment 3217233
Gulio la Kahama size yake ni NjombeMaskini.... vijengo vilevile
KAHAMA inawaacha mbaliView attachment 3217333View attachment 3217334View attachment 3217335View attachment 3217336