Kahama VS Njombe/Mafinga

Kijeli za kwenye mtandao hazitakusaidia ,naishi Njombe,kahama naijua vzr na tarehe 19/7 /2019 nilikuwa kahama kikazi, nilikuwepo kwa cku zaidi ya 51,kwahiyo kahama iko mbali na hata huwezi zilinganisha kwa majengo na ukubwa wa mji plus population,na hizo nilizozikuta ndo balaa kbs.Kahama ni mji mkubwa sana ,na hao wasukuma unaowaona usangu kimuonekano si wale walioko mwanza, shy,geita, tabora hadi simiyu.Kukaa kwny computer yk na kuanza lumbana siyo hoja,coment zako zimekaa kiutani zaidi na mbwebwe ili mradi tu Njombe iwe mshindi,watu wametulia hawataki tena league na ww maana kahama huijui ki hakika.
Sifurahishi wananzengo jibu hoja zangu hapo juu mkuu
 
Wakati wengine wamepewa bure madini wengine wanayapanda kwakutumia akili .

Ukitoa janga la ukimwi(sababu ya baridi kali msuguano lazima)watu wa njombe ni jamii za watu wenye uwezo mkubwa kiakili na kiuthubutu kwa nyanda za juu kusini hapo wanaweza karibiana na wanyaki
 
Unaitikia kichocheo cha hisia zako sio? Weka picha acha porojo,kwa msingi wa idadi ya wakaazi hata kasulu ni kubwa but vipi quality ya life baina ya migodini na mjini Njombe? Usifananishe Njombe na vimiji vya ajabu ajabu
 
Mkuu unatudhalilisha wanyaki wakalibiane na nani? Sisi ndio tumejenga miji yao yote ikiwemo Mbeya wewe umewahi ona wanyaki wamejenga Njombe Iringa Mbeya au Mafinga? Tutake radhi watu wa Njombe ni jamii ya watu wa korea
 
Mtu mfupi kwanini Njombe mji imezidiwa na Kahama mji sasa?
.
Nilikwambia sehemu yenye dhahabu sio sawa na sehemu yenye mavichaka mamiti miti kama Njombe
Kuzidiwa kulitokana na uwekezaji wa migodi sie baada ya kupewa mkoa sasa tunawekeza kwa kasi kubwa sana tunakuja hadi huko gulioni Kahama kuchuma pesa za manamba tunazipeleka Njombe ndio maana mna gdp kubwa but poor life hakuna muwekezaji mwenye akili timamu ataweka long run investments huko machimboni huoni magorofa huku Njombe yanasimama kwa fujo? Floor 8,7,6 .Kahama huko ni gulioni sio liveable town
 
Hapana, ka kahama kadogo kwa shy. Sema kibiashara khm imechangamka sana.

Inawezekana kahama ikawa ni moja kati ya wilaya iliyochangamka na watu wake wana pesa kuliko wilaya zote tanzania.
Acha dharau kuita kakahama kahama nimji wa nane tanzania kwa idadi ya watu ulinganishe na shinyanga mji wa kuminasaba kwa idadi ya watu kahama kunajamu ya magari sasa juzi tu wamefunga taa za kuongozeaagari hapo katikati ya mji kahama inatakiwa ijitegemee iwe mkoa kama ilivyo njombe uone shinyanga itavyogeuka pori lenye mabati mengi
 
Hata Mimi kahama naikubali.

Kwenye kanda ya ziwa baada ya jiji la mwanza Bukoba inafata then kahama inafuata.

Hiyo shy,musoma sijui geita zote zinazidiwa na kahama
 
Kama nakuelewa hivi, Watu wanakimbia Iringa na Songea wanaenda Njombe, Njombe kuna fursa ya kuanzia. Ila Iringa kah, Mji mgumu sana.
Nimecheka sana, Iringa mji mgumu na tunaoishi ni wagumu vile vile..ukiweza kuishi Iringa hakuna sehemu itakushinda Tz hii
 
Big slum full of poor manambas wanaotegemea kujikimu kwenye makinikia
Taa za barabarani hata Chato zipo
 
Karibuni kwenye mada
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga
Je ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwinzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Njombe ni mahali huwezi kulinganisha na kahama. Njombe ina fursa nyingi zisizoisha na zinaongezeka kadri siku zinavyokwenda na watu kuongezeka. Sema kwa muda mrefu njombe ilikuwa inaibeba iringa kwani ilikuwa inakusanya mapato mengi ili yalikuwa yakipelekwa mkoani( iringa ) na njombe kuambulia mabaki tu. Ila ipeni njombe miaka kama mitano itakuwa haishikiki kwani imeshajitenga na mnyonyaji(iringa)
 
Njombe inakusanya mapato mengi sana yatokanayo na TRA kuliko kule Kahama jangwani
 

Weka statistics basi 😁 co unaongea tu
 
Unaitikia kichocheo cha hisia zako sio? Weka picha acha porojo,kwa msingi wa idadi ya wakaazi hata kasulu ni kubwa but vipi quality ya life baina ya migodini na mjini Njombe? Usifananishe Njombe na vimiji vya ajabu ajabu


ah wap...! quality kahama iko juu ww..huenda wa njombe umeishi miaka hii hii hapa! kahama watu wanatumia pesa ww!hebu acha bas
 
Hata Mimi kahama naikubali.

Kwenye kanda ya ziwa baada ya jiji la mwanza Bukoba inafata then kahama inafuata.

Hiyo shy,musoma sijui geita zote zinazidiwa na kahama
Hahaha buda Geita ya 2016 sio ya leo nenda ushangae bajaji zimeenea japo hawaifikii Singida bajaj ni nyingi kama watu
 
ah wap...! quality kahama iko juu ww..huenda wa njombe umeishi miaka hii hii hapa! kahama watu wanatumia pesa ww!hebu acha bas
Wewe bibi tulia upate dozi ya Njombe,usifananishe Njombe na vimiji vya machimboni na wafugaji kama Kahama ,cheki picha mdau kaweka wewe weka za huko kwa wachuuzi
 
Hahaha buda Geita ya 2016 sio ya leo nenda ushangae bajaji zimeenea japo hawaifikii Singida bajaj ni nyingi kama watu
Umehamia Geita πŸ˜†πŸ˜†πŸ’‰πŸ’‰ Njombe kiboko weka picha za huko migodini wadau wanazidi kutiririsha pics za Njombe nchi ya ahadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…