pemgtoonet.com
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 879
- 618
Daaaaaaah kwa bakora hizi, NJOMBE weka mbali na watoto. Kahama tupa kuleeenjombe kwakifupiView attachment 1184195View attachment 1184196View attachment 1184197View attachment 1184198View attachment 1184199View attachment 1184200View attachment 1184202View attachment 1184203View attachment 1184204View attachment 1184205View attachment 1184206View attachment 1184208View attachment 1184209View attachment 1184211View attachment 1184212View attachment 1184213View attachment 1184214View attachment 1184215View attachment 1184216
Hata wenzio hawakwenda njombe kupiga selfiee ila kutokana na utomaso wenu wameamua kufanya kazi iyomie sijenda Kahama kupiga selfie mkuu bahati mbaya sana mm na ww upeo wetu hauwez fanana katu!
Hasa Hapo njombe Ni hatariiiiiiMiji yote ina UKIMWI wa hatari
🙏🙏🙏🙏Hata wenzio hawakwenda njombe kupiga selfiee ila kutokana na utomaso wenu wameamua kufanya kazi iyo
Tunasubiri mradi wa ULGSP uanze Njombe town itakuwa fire yaani 🔥🔥🔥🔥🔥🔥Daaaaaaah kwa bakora hizi, NJOMBE weka mbali na watoto. Kahama tupa kuleee
Hata wenzio hawakwenda njombe kupiga selfiee ila kutokana na utomaso wenu wameamua kufanya kazi iyo
duuh ndo mradi gani huo boss hata sijuiTunasubiri mradi wa ULGSP uanze Njombe town itakuwa fire yaani 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
unasema ujinga sahiz baada ya kukosa point za msingi, kwanini hukusema kama ni ujinga toka mwanzo wa post yako. Mwanzo tumeanza vzr tu, kwanini umeona kuwa ujinga kwa sasa. Harafu km ungeona ni ujinga wala usingechangia chochote toka mwanzo. Ungepita kimyakimya tuYaan sipo hapa kubishana ujinga mkuu...! tutakutana kileleni..endeleeni kununua fitofu na mm nahangaika na dhahabu zangu
unasema ujinga sahiz baada ya kukosa point za msingi, kwanini hukusema kama ni ujinga toka mwanzo wa post yako. Mwanzo tumeanza vzr tu, kwanini umeona kuwa ujinga kwa sasa. Harafu km ungeona ni ujinga wala usingechangia chochote toka mwanzo. Ungepita kimyakimya tu
Kweli kabisa mijitu inanguvu Sana.Hujaona utafiti wa britanicca tunaingoza kwa kuwa na mishedede mikubwa na nguvu tunazo.
.
Vilima kwetu tambarare tu
Asanteni kwa maelezo haya nilikuwa naumiza akili kwamba napitaje kutoka Ifakara mpaka Lupembe, nimepata majibuInapita Njombe(Stop Lupembe), inaenda Lupembe, inashukia karibu na Chitta huko (Moro), then Mlimba - Kihansi, Mbingu - Mngeta, Ifakara - Kidatu, Mikumi. Kipande kisumbufu Ni Ifakara - Lupembe.
kwa picha hizo za njombe,bado cha mtoto wa kahama,labda ulinganishe na simiyu
njombe kwakifupiView attachment 1184195View attachment 1184196View attachment 1184197View attachment 1184198View attachment 1184199View attachment 1184200View attachment 1184202View attachment 1184203View attachment 1184204View attachment 1184205View attachment 1184206View attachment 1184208View attachment 1184209View attachment 1184211View attachment 1184212View attachment 1184213View attachment 1184214View attachment 1184215View attachment 1184216
Kwa Njombe katika kilimo kuna fursa kubwa sana
Wahehe na Wabena tunapatana sana mkuu, vipi kutushambulia Wabena kihivyoNjombe iliyoongelewa na hawa ndezi wa kibena utafikir sehemu ya maana, kumbe ni kamji ka kishamba. Ukienda bar mabaamed wamevaa makoti na kujifunika vilemba hadi kwenye nyusi. Mafinga ni sehemu ya kijanjazaid kuliko hako kamji ka watunza misukule
Mkuu sie tunaongelea maendeleo ukitaka kutiana nenda kahaba=Kahama na kanda ya ziwa at large si ajabu mnanuka umaskini maana akili yenu imeishia kutiana tuuNjombe iliyoongelewa na hawa ndezi wa kibena utafikir sehemu ya maana, kumbe ni kamji ka kishamba. Ukienda bar mabaamed wamevaa makoti na kujifunika vilemba hadi kwenye nyusi. Mafinga ni sehemu ya kijanjazaid kuliko hako kamji ka watunza misukule
Mkuu Njombe ni fire kwa kasi ya maendeleo,wiki hii nimetoka Njombe kwa kweli maendeleo yanakimbia hasa pale mjini kati na songea road,zamani ile airport ilikuwa nje ya mji leo hii iko ndani ya makazi ya watu na jirani na stendi kuukwa picha hizo za njombe,bado cha mtoto wa kahama,labda ulinganishe na simiyu
Mkuu sie tunaongelea maendeleo ukitaka kutiana nenda kahaba=Kahama na kanda ya ziwa at large si ajabu mnanuka umaskini maana akili yenu imeishia kutiana tuu
Pili Njombe kamwe huwezi ilinganisha na Mafinga town maana sisi ni makao makuu ya mkoa na uwekezaji unaofanywa saizi ni mkubwa na uko speed sana
Soon Njombe makete Mbeya/isyonje road itakamilika,Njombe/itoni ludewa Manda mbamba bay road itakamilika,Njombe/kubeba madeke Lupembe to Ifakara road itakamilika kabla ya 2025 na barabara zote wakandarasi wako site kazi zinaendelea unategemea Njombe utailinganisha na hivyo vimiji vya msimu wa mavuno?