Kahama VS Njombe/Mafinga

Njombe haiwezi kuikuta Kahama hata siku moja, wananjombe acheni utani Njombe bado sana, Njombe pale hapajulikani hata mjini ni wapi, kahama toka 2000s lami za kutosha, Njombe leo ndio wanaanza kuweka lami, njombe ni kijijini
 
Lami gani aisee iliyopo Kahama?Acha mahaba kijana!!
 
Njombe hii bila uchawi huwezi kupata pesa, ukitaka pesa mpaka uende kwa Mwakipande ndio yakufananisha na kahama? acheni ujinga
 
Actions matters than words, kahama leteni picha, maana mwanzo mlichemka mkatumiksia na za mza. Lete picha apa
 
Njombe haiwezi kuikuta Kahama hata siku moja, wananjombe acheni utani Njombe bado sana, Njombe pale hapajulikani hata mjini ni wapi, kahama toka 2000s lami za kutosha, Njombe leo ndio wanaanza kuweka lami, njombe ni kijijini
asee we upo dunia ya ngapi? Kahama ishapigwa chini kitambo mbona.pitia comments za mwanzo uone mijengo ya njombe, harafu ulinganishe na vijengo viwili vya kahama.
 
saa saa 2 usiku kahama ndio kumekucha watu kama wote mjini, njombe ndio wanaenda kulala, kahama kuna watu mara 5 ya njombe
 
Singida n tabora maskini tu kwa khm
 
Kwasababu ni misitu mingi wanatega biashara ya utaliii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…