Kahama VS Njombe/Mafinga

Nyie endeleeni kujifariji huko malishoni,kama umefika Njombe kwa siku za karibuni utakubaliana na mimi kwamba Njombe imeendelea sana kuliko kahaba
Hapo KHM ni mlundikano wa watu wakifanya uchuuzi lakini njaa tupu.Nilihesabu magorofa Njombe ni zaidi ya 30,,Zamani ilikuwa ukienda airport ya Njombe ni mapori leo hii airport iko mjini yaani songea road ujenzi ni mkubwa sana
 
Husibishane kama la saba, njoo na fact sio kelele za vibanda umiza
 
Ushahidi gani ww mchuuzi unataka wakati hii thread imejaa picha za Njombe kahama hakuna.Tukiweka za Mafinga si mtadhani ni jiji
 
Dah nilikua njombe juzi kati. Hatari.
Kuna ghorofa nyingi sana zinaendelea kujengwa.
Kuna 1 lipo hapa chini sheli jirani na NBC nomaaa.
Lipo floor ya 1
 
Dah nilikua njombe juzi kati. Hatari.
Kuna ghorofa nyingi sana zinaendelea kujengwa.
Kuna 1 lipo hapa chini sheli jirani na NBC nomaaa.
Lipo floor ya 1
Yeye usemacho nilikuwa huko mwezi wa kumi yaani Njombe ni fire,afu ile road ya makete iko inapigwa lami asphalt concrete upana 12m yaani in short Njombe itanoga sana in 5 years to come hutoamini
Pia mji wa Mafinga unakuja kwa speed ya rocket Ila Makambako imepoa kidogo
 
Mpaka sasa njombe hamjanja na fact yyte ya maana, ni stori tu za vijiweni leteni fact na source kama hizo hapo juu.
 
Picha ndio nini ushamba tu, yani me niende kahama nizungukr napiga picha mijengo ya watu??? Embu panda basi njoo Dar huone kama hutaibiwa mpka boksa
 
Karibuni kwenye mada
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga
Je ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwinzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Usilinganishe mji maalum wa kahama na vitu vinyonge kama njombe na mafinga. Inavyoonekana wewe huna kazi za kufanya maana post zako zote zimejaa upuuzi mtupu. Achana na kanda ya ziwa wewe hiyo ni habari nyingine.
 
Njombe kuipita Iringa labda miaka 500 ijayo. Manyara ndo inakotoka Tanzanite lakini haitakuja kuipita Arusha au moshi. Njombe hata kwa Mafinga haitii mguu Mafinga ni wilaya ya tatu kimapato tz next to kahama. Kahama ni nzuri na ina mzunguko wa pesa kuliko Mafinga na Njombe. Nilkaa kakola buly 2010. Kipindi hicho kahama kulikua na benk zaid ya 6. Azania, stanbic nk. Njombe mpaka sasa wana benk 4 tu hakuna hata shopping mall
 
Njombe ni mkoa, kahama ni kawilaya.
So haviwezi lingana hata nusu.
Kahama ingeizidi njombe, ingekuwa mkoa km njombe.
So kahama kuikuta njombe ni ndoto.
Hadhi yake itabaki hukohuko kwenye level za wilaya.
 
Usilinganishe mji maalum wa kahama na vitu vinyonge kama njombe na mafinga. Inavyoonekana wewe huna kazi za kufanya maana post zako zote zimejaa upuuzi mtupu. Achana na kanda ya ziwa wewe hiyo ni habari nyingine.
Njombe ni mkoa, kahama ni wilaya.
So kwa akili ndogo tu, mkoa na wilaya kipi kipo juu ya mwenzie. Simple logic
 
Njombe ni mkoa, kahama ni kawilaya.
So haviwezi lingana hata nusu.
Kahama ingeizidi njombe, ingekuwa mkoa km njombe.
So kahama kuikuta njombe ni ndoto.
Hadhi yake itabaki hukohuko kwenye level za wilaya.
Njombe mjini haifikii hata nusu kwa kahama
 
njombe kwa kahama bado sana

KAHAMA MJINI

NJOMBE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…