Kahama VS Njombe/Mafinga

mi sijui maana nikiiangalia sehemu nyingi zinatia huruma lakini ukifika Njombe unajua hapa wapambanaji
Na miji inayokua na ya kibiashara Ni kahama makambako na tunduma sio mnalinganisha na miji ya hela za msimu wa mavuno
 
Hawa jamaa hawako serious kabisa ivi njombe ndo ulinganishe na Kahama? tena nashangaa mnaanza kuilinganisha Kahama na mafinga? Huu utani kabisa tena wa hali ya juu, Kahama iko juu Sana Sana .

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawa jamaa hawako serious kabisa ivi njombe ndo ulinganishe na Kahama? tena nashangaa mnaanza kuilinganisha Kahama na mafinga? Huu utani kabisa tena wa hali ya juu, Kahama iko juu Sana Sana .

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hi miji usipoitembelea ukaijua vizuri ukaishia kusoma komet una fail sana mfano mji wa njombe Ni very narrow mwembamba umefuata barabara kulingana na jiografia yake mafinga imejengeka upande mmoja kuelekea isalavanu na ukitoka changalawe Hadi makwawa Ni km 15 tu ndo pamejengeka alafu nashangaa makambako na tunduma et wanasema miji ya wachuuzi hahaha Yani kwa sasa makambako kila Kona inajengeka toka idofi Hadi ikelu kunajengwa tu km 30 na tunduma nayo inaungana na ihanda mlowo na vwawa alafu et mafinga na njombe ndo panajengeka danganyeni wasio kujua alafu picha sio za mafinga mjini Ni za mufindi dc afu mapato toeni ya mafinga tc yenye kata 9 sio kuchanganya na dc alafu unakuja kulinganisha na miji ya kibiashara mnafeli na hoteli mafinga Ni Merlin zingine ovyo ko na walivyo Jenga gorofa la cf plaza basi mafinga mnaona Kama mmeizidi miji mingine kumbe bdo mnasafari ndefu na mf kuna shell 13 wakati makambako shell zpo 15 Hadi zinazojengwa kwa sasa njombe zipo shell 11 na bank mafinga 4crdb nmb muccoba na tpb wakati makambako kuna nmb crdb nbc benk ya wanawake letshego bank tpb bank nk ko usipo tembelea kwa makini hi miji ukawasikiliza watu wanapotosha ukweli hata mizigo ya madukan wengi mafinga na njombe wanachukulia makambako na tunduma alafu et miji ya wchuuzi
 
Mafinga nimekaa ukiondoa mbao hakuna kitu ni hovyo mji wa hovyo.
 
Alafu mafinga yenyewe imeanza kutwa halmashauri ya mji mwaka 2015 wakati kahama makambako na tunduma zilianza mwaka2012 mafinga Ina kata 9 tano zpo mjini na 4 Ni bush na njombe Ina kata 13 kata 3 zipo mjini na 10 vijijin wakati miji ya kibiashara Kama tunduma Ina kata 15 zote mjini makambako 12 mbili ndo zipo vijiji na kahama hiyo inakupa picha jinsi gani tunavo sema mafinga na njombe bado mnasafari ndefu ya kubadilisha hivyo vijiji vya pembeni ndo muanze kujiringanisha na centre za biashara
 
Nimekaa Mafinga mwaka ukiniambia nirudi pale kufanya maisha naweza nikakupiga kichwa...vumbi la pale kiboko miguu inakakamaa kama ngozi ya mamba
Unajua mtu Hadi unashanga ulinganisho unaotumika mafinga sehemu iliyochangamka Ni kutoka jam bek had nmb bank Kama km 1 kwisha alafu njombe Ni kutoka masasi Hadi kanisa la Roma km 1 na nusu Keisha kwingine kumepoa sasa anagalia miji ya tunduma makambako na kahama mitaan full mishe bajaji za kutosha wakati mafinga bajaji zipo 300 na njombe 200 wakati tunduma zpo zaidi ya 1000 na makambako hvo2 kwa Nini hii miji isi kue zaidi
 
Njombe nayo hakuna kitu mji umefuata barabara kama ilivyo mafinga(nimekaa changarawe yaani nikisema ngoja nikatembee mjini ndo pale standna kwenye lile ghorofa hakuna jipya,Ukitoka ilipo COTC mpaka hapa chini inapoanzia kinyanambo kuvuka CRDB umemaliza mji ni kama 2M na point)..makambako pamechangamka kwanza mji umechukua sehemu kubwa
 
tafsiri yako ya mji iko narrow sana,Njombe inakaribia kua Manispaa Makambako bado hajafikia huko,unapozungumzia mji usiangalie CBD tu tazama kote urban na peri Urban Njombe iko na Kibena,Ramadhani,Mji kati,Chaugingi,Kambarage,Mji mwema,Nundu,achilia mbali vitogoji vyake vyoteee vinavyounda Mji wa Njombe na hata kata uulizosema ni vijijini bado zinatengeneza muunganiko mzuri na kwa mgeni akitoka Njombe Mjini had Kitulira Mpakani mwa Ludewa na NJOMBE anauona mji,Makambako ukitoka round about just kilomita chache mji umeisha iwe kuelekea mbeya,DAR au Njombe
 
Acha kuda
Acha kudanganya watu njombe yenye kata ya ramadhani kata ya njombe mjini na mji mwema umemaliza mjini nenda makambako unaanzia idofi kipagamo makambako centre mji mwema kivavi lyamkena kiumba unamalizia ikelu km 30 ukubwa wa njombe Ni upi zaidi ya vijiji mlivyonavyo 44 makambako mji umetawanyika sana upo vizuri wanaitumia vema jiografia yao ya tambalale
 
Kwenda mbeya unaenda km 5 uelekeo wa dar km 10 kwenda njombe km 20 kote kunajengeka toka round about ko sio tunaongea vitu bila kufika eneo husika alafu unavosema makambako haijafikia kuwa manispaa kigezo kipi imekosa maana hata mtu ukimtoa njombe umlete makambako atakwambia tu makambako Ni kubwa kuliko njombe
 
Kwenda mbeya unaenda km 5 uelekeo wa dar km 10 kwenda njombe km 20 kote kunajengeka toka round about ko sio tunaongea vitu bila kufika eneo husika alafu unavosema makambako haijafikia kuwa manispaa kigezo kipi imekosa
ukifika Luponde,matola kunajengeka nako Kilo mita zaidi ya 40 toka njombe CBD,Ukitoka mji mwema ukielekea magoda,utalingolo nako kunajengeka more than 20 km,ukitoka njia panda ya Kibena kuelekea Lupembe nako kunajengeka,in short Makambako haiwezi kuifikia Njombe japo wote ni watoto wa mama mmoja.Turudi kwenye Njombe v Kahama
 
Ukweli utabaki palepale mnapotosha watu njombe ipi kubwa kuliko makambako watu kila siku tupo hku hakuna jipya zaidi makambako inazidi kupiga gap la maana na hii ndiyo iliyopo kati ya shinyanga na kahama ndicho kilichopo kati makambako na njombe makambako ipo speed Ni balaa kwenda njombe imeungana na mtwango kwenda mbeya inaungana na ilembula Ni full kujenga tu na bado serikal imeleta miradi mikubwa zaidi kunaujenzi unaendelea was kiwanda kiwanda kikubwa Cha madawa ya binadamu kipo pale idofi kuna vihenge vipo pale majengo kuna ujenzi unaendelea wa soko kubwa la mazao pale kiumba kuna ujenzi wa kiwanda Cha vifungashio pale lyamkena bado viwanda vinavyofanya kazi Kama Cha misumari mabati kahawa nk bdo project walizolipa fidia hawajaanza kujenga Kama bandar kavu soko la kimataifa na one stop centre ko ndo ujue jinsi gani huu mji utatisha
 
ndugu yangu sasa unaleta siasa,Bahati nzuri au mbaya mimi sio mkazi wa makambako au Njombe Mjini lakini nakuaepo katika miji hiyo kila wakati . Jambo la kwanza kukua kwa hii miji yote miwili ni faida kwa mkoa wa Njombe,Pili kabla ya 2012 Makambako kweli ilikua imechangamka kuliko Njombe lakini baada ya hapo mambo ni tofauti,Ilembula na makambako ni mbali sana,mtwango iko Njombe DC na kutoka makambako hadi mtwango ni mbali zaidi kutoka mtwango kwenda Njombe Mjini kama sio msitu vingekutana kama vilivyokutana nyuma ya msitu kule,Toafuti kubwa ninayoiona ni kua Makambako ni tambarare na Njombe ni mji ulio kwenye miuonuko,tambale hivyo kwa asie uuja atadhani ni mji wa nyumba chache na haujapanuka,lakini umepanuka sana imagine toka mji mwema hadi wende,ngalanga ni kilomita ngapi.
 
Ukitoka wangama Hadi makambako Ni km 30 pote Ni wanajenga ukitoka wangama Hadi njombe Ni misitu na chai km 29 ko mji upi utazidi kukua na hivi sasa makambako ya 2012 na ss Ni tofauti mji umetawanyika mno ndo maana Hadi masoko yameongezwa hawategemei soko moja Kama njombe na unavo enda ilembula Ni km 35 watu wajenga tu ko watu tunaongea kitu tunacho kiona na sio siasa bado hujaenda mlowa walikojenga hospital ya wilaya nyumba zimefika alafu bdo hujaingia ikwete malombwe kote wanajenga huu mji Ni Moto ndo maana nikasema jiografia yao inatumika vizuri ndo maana hata serikali imeleta miradi mikubwa
 
unadhani Njombe haijatawanyika toka kibena chai hadi Kitulira Mpakani mwa Njombe na Ludewa kilomita ngapi? au nikurahisishie toka kibena kadi Hagafilo kilomita ngapi,toka Njombe CBD lunyanywi A,B na C, toka Njombe CBD hadi Itulike kilomita ngapi? au toka Njombe CBD hadi wende kilomita ngapi?
 
Mabonde mengi hayana nyumba useless alafu tofauti na makambako ndo maana ukiangalia hata takwimu za kimkoa makambako ndo inaoongoza kuwa na makazi mengi kimkoa ko ndo maana nasema makambako imejegeka maana huwezi linganisha mji wa milimani na tambalale kuna utofaut mkubwa mno kwa mfn ukiwa makambako kila unako anga Lia yanaonekana makazi tu yanaendelea kujengwa tofaut na njombe misitu na mabonde mengi mno alafu kumbuka njombe inaanzia lihogosa kwahiyo kutoka kibena Hadi hagafilo Ni km 15 na njombe itulike km 12 wende km10 umemaliza na CBD ya makambako saizi yote wanaimalizia lami imetoka mizani Hadi kivavi zimepigwa lami barabara za kutosha ko wana mikakati mikubwa sana alafu njombe mtu huwezi tambua CBD Ni wap maana mji umenyoka barabaran tu ko jiografia imewabana sana wakat makambako CBD yao imekaa poa Sana kwa kutawanyika
 
kwani makambao CBD ni wapi mkuu
 
Wakuu mbona mmeanza kuvuana nguo?
hamna mkuu tumeona wa kahama wamekimbia tumeamua kupiga stori wenyewe japo Mdatchu kazingua kwa kuhama mada.Mada ilikua NJOMBE/MAFINGA v KAHAMA yeye akaja na mtoto wa Njombe(Makambako) v Njombe.Nimeona amekosa adabu kabisa nikashindwa kuvumilia ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…