Kahama VS Njombe/Mafinga

At least umeiona Bukoba...haya linganisha na miji yenu ya kusini.
Iringa ndo at least inaweza compete na Bukoba japo nako ni kadogo na kamebana na hakana facilities nyingi kama Bukoba
Hakuna Mji hapo ni Kijiji kilichochangamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…