ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #18,481
Hii naona upembuzi bado ingawa nayo saiz Kuna uwezekano mkubwa kuja kuwekwa lami maana tayari Kuna madini ya chuma yamegunduliwa lupila na masisiwe ambako tayar wachina wameanza Kaz ya kuyachimbaKazi za kuufungua Mkoa wa Njombe Kwa lami zinaendelea ππ
View: https://www.instagram.com/p/C4r2MiKN-gN/?igsh=MW1oYjdjYWx3cDc1Yw==
Hoja Mk boy
Sijasikia section ya Ikonda-Ilangala-Lupila/Kipengele Junction-Mlangali.
View attachment 2938737
Moja ya kampuni iliyokuwa na maroli ya mizigo mengi hii ni mojawapo naona Sasa wamesha soma nyakati