Kahama VS Njombe/Mafinga

MAKUBALIANO YA UENDESHAJI TAZARA KUKAMILIKA MWISHONI
MWA MWEZI MEI 2024

Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa katika kuwasilisha bajeti ya Wizara ya Uchukuzi ameeleza lengo la serekali za Tanzania na Zambia ni kuiwezesha TAZARA kutoa huduma nzuri ya usafirishaji iliyokusudiwa hivyo kwa sasa zipo kwenye mazungumzo na serekali ya China kupitia kampuni binafsi.
Mazungumzo hayo yanategewa kukanilika mwisho wa mwezi Mei 2024, ambapo TAZARA inategemewa kuendeshwa kwa utaratibu maalum wa ukodishaji yaani (concession). 👍
 
MAKUBALIANO YA UENDESHAJI TAZARA KUKAMILIKA MWISHONI
MWA MWEZI MEI 2024

Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa katika kuwasilisha bajeti ya Wizara ya Uchukuzi ameeleza lengo la serekali za Tanzania na Zambia ni kuiwezesha TAZARA kutoa huduma nzuri ya usafirishaji iliyokusudiwa hivyo kwa sasa zipo kwenye mazungumzo na serekali ya China kupitia kampuni binafsi.
Mazungumzo hayo yanategewa kukanilika mwisho wa mwezi Mei 2024, ambapo TAZARA inategemewa kuendeshwa kwa utaratibu maalum wa ukodishaji yaani (concession). 👍
 
Around makambako mambo YanaZidi kukaa sawa hii ni dhamira njema ya mkoa wa njombe kulikuza eneo hili uwekezaji unaendelea 👇👇👇👇👇Hospital ya Utengamavu INUKA inayofahamika zaidi Kama INUKA REHABILITATION HOSPITAL iliyopo Wanging'ombe Makambako Mkoa wa Njombe inakuletea mfululizo wa Maudhui yanayohusu matibabu ya Utengamavu na huduma zake zote katika kurasa rasimi za Mitandao yetu ya kijamii@inukarehabilitationhospital...
Jambo la kufanya ni kuweka bando, Kaa karibu na simu yako, kisha tembelea kurasa zetu za facebook, Twitter, instagram, na youtube ili uwe mnufaika wa elimu hii adimu kabisa kutoka kwetu...

Inuka rehabilitation hospital ndio hospital pekee Tanzania inayotoa huduma za Utengamavu Kwa Asilimia 100 Kwa njia mbalimbali na Kwa uhakika kupitia wataalamu wake mahiri...hakikisha unakuwa sehemu ya wafuatiliaji wa Maudhui yetu...

Hakika hutojuta
 
MAMBO YANAZIDI KUWA MOTO 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Masuala ya Nishati wa Zambia, Mhe. Peter Kapala leo wamefanya kikao kilicholenga kujadili nia ya Serikali ya Tanzania na Zambia kuanza ujenzi wa bomba la inchi 24 la kusafirisha mafuta safi kutoka Tanzania kwenda Zambia.

Kikao hicho kimefanyika tarehe 29 Januari, 2024 jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga, Makatibu Wakuu wa Wizara za Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, (Tanzania) na Dkt. Chisangano Zyambo (Zambia) pamoja na watendaji mbalimbali kutoka Wizara hizo na Mashirika yanayosimamia Mafuta.

Dkt. Biteko amesema, majadiliano hayo ya Mawaziri yanatokana na ziara ya Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoifanya nchini Zambia mwezi Oktoba mwaka 2023 ambapo katika mazungumzo yake na Rais wa Zambia, Mhe. Hakainde Hichilema walijadiliana kuhusu kuongeza uwekezaji kwenye Bomba la Mafuta la TAZAMA kwani bomba hilo kwa sasa halikidhi mahitaji kutokana na kuwa na ukubwa wa inchi 12.

“Kulingana na maendeleo makubwa katika nchi zetu mbili, mahitaji ya mafuta yamekuwa makubwa ndio maana inabidi kujenga bomba jingine jipya kubwa ambalo litasafirisha mafuta kutoka Tanzania kwani kuna Bandari, bomba hili litakalojengwa pembeni ya Bomba la Mafuta la TAZAMA litasafirisha mafuta pia kwenda mikoa ya kusini mwa Tanzania na hivyo kupunguza gharama za usafirishaji na kuwapatia wananchi mafuta ya gharama nafuu.” Amesema Dkt. Biteko.

Ameeleza kuwa, bomba hilo litakuwa na urefu wa kilometa 1,710 na uwekezaji wa Dola za Marekani Bilioni 2.5 na kusisitiza kuwa, kwa uwekezaji huo kunahitajika umakini kwenye utekelezaji wake na bila kuuchelewesha.

Ameongeza kuwa, bomba litakuwa na matoleo ya Mafuta katika maeneo mbalimbali nchini ikiwemo Morogoro, Makambako, Mbeya na Songwe na kupunguza suala la mikoa hiyO
 

MAWAZIRI WA NISHATI TANZANIA, ZAMBIA WAJADILI UJENZI WA BOMBA JIPYA LA MAFUTA​




Ni la Mafuta Safi kutoka Dar es Salaam hadi Ndola Zambia
Dkt. Biteko asema pia litanufaisha mikoa ya kusini
Zambia yasema ipo tayari kutekeleza mradi huo
Timu ya Wataalam yaanza majadiliano

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko pamoja na Waziri wa Masuala ya Nishati wa Zambia, Mhe. Peter Kapala leo wamefanya kikao kilicholenga kujadili nia ya Serikali ya Tanzania na Zambia kuanza ujenzi wa bomba la inchi 24 la kusafirisha mafuta safi kutoka Tanzania kwenda Zambia.
Kikao hicho kimefanyika tarehe 29 Januari, 2024 jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga, Makatibu Wakuu wa Wizara za Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, (Tanzania) na Dkt. Chisangano Zyambo (Zambia) pamoja na watendaji mbalimbali kutoka Wizara hizo na Mashirika yanayosimamia Mafuta.
Dkt. Biteko amesema, majadiliano hayo ya Mawaziri yanatokana na ziara ya Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoifanya nchini Zambia mwezi Oktoba mwaka 2023 ambapo katika mazungumzo yake na Rais wa Zambia, Mhe. Haikande Hichilema walijadiliana kuhusu kuongeza uwekezaji kwenye Bomba la Mafuta la TAZAMA kwani bomba hilo kwa sasa halikidhi mahitaji kutokana na kuwa na ukubwa wa inchi 12.
“Kulingana na maendeleo makubwa katika nchi zetu mbili, mahitaji ya mafuta yamekuwa makubwa ndio maana inabidi kujenga bomba jingine jipya kubwa ambalo litasafirisha mafuta kutoka Tanzania kwani kuna Bandari, bomba hili litakalojengwa pembeni ya Bomba la Mafuta la TAZAMA litasafirisha mafuta pia kwenda mikoa ya kusini mwa Tanzania na hivyo kupunguza gharama za usafirishaji na kuwapatia wananchi mafuta ya gharama nafuu.” Amesema Dkt. Biteko.
Ameeleza kuwa, bomba hilo litakuwa na urefu wa kilometa 1,710 na uwekezaji wa Dola za Marekani Bilioni 2.5 na kusisitiza kuwa, kwa uwekezaji huo kunahitajika umakini kwenye utekelezaji wake na bila kuuchelewesha.

Ameongeza kuwa, bomba litakuwa na matoleo ya Mafuta katika maeneo mbalimbali nchini ikiwemo Morogoro, Makambako, Mbeya na Songwe na kupunguza suala la mikoa hiyo kutegemea kupakua mafuta jijini Dar es salaam pekee.
Dkt, Biteko amesema kuwa, Timu ya Wataalam wamajadiliano inaanza kazi leo na hii ikiwa ni msukumo ambao Marais wa nchi zote mbili wamekuwa wakiutoa ili kutekeleza mradi huo.
Ameeleza kuwa, Serikali ya Tanzania, ipo tayari kutekeleza mradi huo wa kimkakati na hii ikizidi kuonesha uhusiano mzuri uliopo kati ya nchi hizi mbili ambao umepelekea utekelezaji wa miradi mbalimbali ikiwmemo wa bomba la TAZAMA na mradi wa usafirishaji umeme kutoka Tanzania kwenda Zambia wa kV 400.
Kwa upande wake, Waziri wa Masuala ya Nishati wa Zambia, Mhe. Peter Kapala amesema kuwa, nchi hiyo inauhitaji sana mradi huo na Rais wa nchi hiyo anaupa msukumo na anatarajia kwamba kazi ya utekelezaji itafanyika kwa kasi na umakini ikitarajiwa kuwa mradi ukamilike kwa muda wa miaka miwili.
Ameeleza kuwa, kampuni nyingi zimeonesha nia ya kutoa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa mradi huo, ambapo ametanabaisha kuwa nia za makampuni hayo zitafanyiwa tathmini na wataalam ili kupata kampuni bora.
Ameongeza kuwa, mahitaji ya mafuta nchini Zambia yanazidi kuongezeka kutokana na kukua kwa shughuli za maendeleo nchini humo ikiwemo uanzishwaji wa migodi ya madini ya shaba hivyo Serikali ya Zambia ipo tayari kutekeleza mradi huo
 
Uwekezaji robo ya Q3 ya Mwaka ,Njombe is on 🔥🔥👇👇


My Take: Njombe imepata miradi 5 yenye Dola Milioni 94(zaidi ya Bilioni 230).
 
Ofisi za Emirates allumiamu profile nyanda za juu kUsini zimefunguliwa mbeya cc na makambako tc makampuni yanacheza na fursa ya jiografia
 
Reli ya tazara kuunganishwa na reli ya kati kupitia kidatu Serikali inaenda kukifufua kipande hichi Cha kidatu hadi kilosa hii itasaidia kuongezeka kwa tren pia makaa ya mawe na bidhaa nyingine kutoka nyanda za juu kUsini kwenda Rwanda ,BURUNDI watatumia reli hii wazo zuri maeneo yatazidi kufunguka zaidi hii itasaidia kusafirisha makaa ya mawe kupitia treni kwenda nchi za EAC na SADC kupitia bandari kavu zinazojengwa makambako ,mbeya na tunduma 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇Mheshimiwa Spika,sambamba na
mikakati hiyo, Serikali imeanza kubuni namnabora
ya kufungamanisha reli iliyopo ya MGR, reli ya
TAZARA pamoja na reli ya SGR ili kuwezesha
kutumia fursa ya utajiri mkubwa wa mtandao
wa reli unaounganisha sehemu kubwa ya nchi.
Hatua hii itaimarisha muunganikowa reli ya kati
na reli ya TAZARA kupitia kiungio cha Kidatu.
Kwa kuzingatia umuhimu wa reli hii na ukweli
kuwa reli inawezesha kuunganisha mzigo
kutoka mikoa ya Songwe, Mbeya, Iringa, Morogoro
na kuwezesha muingilianokuelekea maziwa
makuu. Hii ni fursa ya soko kwa kuunganisha
nchi za EAC,SADCna COMESA na hatimaye
reli ya mwendo kasi. Aidha, Serikali imeanza
kutathmini upatikanaji wa maeneo ambayo
yatatumika wakati wa kufaulisha mizigo
(Trans-shipment) kwa ajili ya kuleta urahisi
wa kufanya biashara hususan usafirishaji wa
 
"PARACHICHI TSH 200 KWA KILO 1"

Wakulima wa zao la Parachichi katika kijiji cha Ihanzutwa kata ya Itulahumba wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe wamesema wanakumbwa na uhaba wa soko la uhakika la bidhaa hiyo takribani miezi mitatu sasa na wanunuzi kununua bei wanazo zitaka wao.

Baadhi ya wakulima hao akiwemo Daud Mwinami,Kasbet Mhema na Matha Mgaya wamesema kwa sasa wanalazimika kuuza parachichi shilingi mia mbili(200) kwa kilo moja ambapo awali walikuwa wakiuza kiasi cha shilingi 1800 mpaka 2000 kwa kilo moja.

Aidha wameongeza kuwa bei hizo zimewafanya waachanae na maandalizi ya kilimo hicho kutokana na kushindwa kumudu gharama za maandalizi.

"Watu wamesha telekeza mashamba bei mdogo gharama mkubwa za maandalizi pamoja na ununuzi wa mbegu za parachichi" ameongeza Daud Mwinami.

Katika hatua nyingine wameiomba serikali iwatafutie Soko la uhakika na wazabuni ambapo wataenda kununua zao hilo kwa bei itakayo enda kuwainua kiuchumi.

" Matunda hata ukienda shambani kwangu parachichi zipo nyingi hazina soko kabisa na ni mwaka wa pili sasa toka nianze kuchuma parachichi" ameongeza Matha Mgaya.

#kingsfmradio #jisikiemfalme #kifalmezaidi #kingsfmradio #jisikiemfalme #2024kifalmezaidi #njombetanzania #njombe #tanzania
#mbeya #kingsfmupadates #kingsfmonline
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…