Kahama VS Njombe/Mafinga

Mnapima story tu humu... Hatujui Kahama nyie ndio wale wa stendi guest mnaondokoa... Kahama HUIJUI ...

Unalinganisha kahama na Katoro!?
[emoji13][emoji13][emoji13]nilishtuka kuona Katoro inalinganishwa na Kahama nikacheka tu. Jana tu kampuni ya Twiga imekabidhi hundi ya 1.6 billion kama service levy kwa Halmashauri. Na uzalishaji wa dhahabu umeanza barrick.
 
Nadhan unapafahamu Katoro, panapishana kidogo sana na Geita mjini na hata Kahama
Hako kamji ka Katoro watu mnakasema sema Sana kwani kana fursa gani Hadi kuwa maarufu kiasi kwamba unasema panapishana kidogo na hiyo miji ambayo ni mikubwa?
 
Ishu sio wingi wa housing units au watu bali ubora wa hayo maisha na uwezo wa fursa kugenerate pesa za maana

Mnaweza kuwa wengi lakini maskini wa kutupwa japo kwa masoko ya bidhaa za rejareja huwa yanapenda hivyo tofauti na miji yenye watu wa income kubwa huku utapata sekta ya hotel na real estate zinakuwa kubwa kuliko huko uswahilini.Na hii ndio tofauti kubwa Kati ya Njombe na Kahama ..

But tangu kilimo biashara cha horticulture produce hususani greengold parachichi kianze kushika Kasi huku Njombe kimefanya hata mzunguko wa pesa kuwa mkubwa mjini Njombe tofauti na hapo awali ,,hii sasa inastimulate na other retail businesses ambazo ndio zimetapakaa huko Khm.

Mwisho kadiri Mji unavyofunguliwa kwa miundombinu ndivyo muingiliano unazidi kunoga na tunategemea mambo yatanoga zaidi pindi migodi ya liganga na mchuchuma ikianza plus miradi mikubwa ya mabwawa ya Umeme ya Ruhuji na Rumakali
 
Dissertation yangu nilifanya juu ya athari za uwekezaji mkubwa (Mega investments) kwenye spatial growth pattern za miji.

Kwa mfano kuimarika kwa uwekezaji kwenye Gas hakuathiri sana ukuaji wa Lindi na mtwara.. na uwepo wa migodi wa Bulyanhulu na Buzwagi athari yake kwa ukuaji wa kahama ni mdogo sana..

Nimeraise issue hiyo kwa sababu ya miradi uliyoitaja.. ya chuma nk.. athari yake kwa mji wa NJOMBE ni ndogo sana.. spending na contracts kubwa zilikuwa zikifanyika DSM japo mgodi uko kahama kwa kesi ya Barrick.. huku Geita gold athari kubwa ilikuwa kwanza kuliko Geita kwenyewe..

Mwanzoni kuna influx inayotokana na speculation.. ambayo.inaphase out in just few years mwanzoni wafu walikimbilia kahama kuwekeza wakidhani madini na biashara ya mgodi itahusisha wafu kila siku.. just to realize majority of contractors wako headquartered DSM the most walichopata ni kusupply matunda na catering πŸ™‚

Kahama imejaa wachuuzi.. yes ila kwa sasa imekwisha panua catchment yake... Kuanzia Kibondo, Kakonko, Nyakanazi, Ushirombo, Runzewe, Masumbwe, Kakola, Kharumwa, Geita, Segese, Ulowa, Ushetu, Nzega, Isaka, Ngara, Shinyanga, Hadi tabora wanaprocure vitu vya jumla kutoka Kahama.

Mchele wa kahama unatoka mbali sana, Nzega, Bukoli, Ulowa, Busangi, Msalala, Salawe, Mapaka maeneo ya tabora urambo huko wote wanapeleka mchele kahama, kwa sababu moja, pamejiaestablish kama soko la uhakika, mashine za kisasa, umeme wa uhakika na storage facilities.. na ukipata fedha yako Banking facilities ziko nyingi kukusaidia.

Manufacturing is the new era, uzalishaji unaongezeka kila siku na hii itaendelea kuistrengthen kama a go to place kwa wakulima na wanunuzi wa bidhaa za jumla.. vyakula vya wanyama animal feed, usindikaji wa mchele, matunda na mahindi.. utendenezaji wa nguo, soon karibu textiles na nida kutaifanya kahama kubwa kitovu cha biashara ya zao la pamba.. mafuta ya kula na sabuni.. kiwanda cha kutengeneza ceiling boards kutokana na pumba za mchele nk..

Mabadiliko ni makubwa... Na Ulisikia Jafo akisema.. mpango kilomita 36 zilizo kwenye mpango tayari zitakuwa ni proper asphalt na sio surface dressing tunazojenga... Ila kwa kupandishwa hadhi nadhani kutakuwa na kilomita zaidi ya 30 za ziada hiyo pekee itabadilisha kahama mno.. .maana kuna maeneo mengi yenye nyumba bora sana ila hazifiki.
 
Kahama wametenga maeneo SPECIAL ECONOMIC ZONE /EXPORT PROCESSING ZONE kwa ajili ya kuvutia wawekezaji na ndio kitu nadhani namba moja alikifurahia na kuhamua kumpa msamaha Mkurugenzi. Naimani wawekezaji kwenye viwanda hawataiachia hiyo fursa kutokana na mazingira mazuri ya uwekezaji yaliyopo Kahama. Kuna kitu kikubwa kinakuja tusubirie na sensa ya 2022 itakuja na majibu mazuri pia.
 
Lile eneo ni hekta 500+ na currently kuna viwanda vingi sana eneo hilo.. lililokuwa shamba la NARCO
 
Lile eneo ni hekta 500+ na currently kuna viwanda vingi sana eneo hilo.. lililokuwa shamba la NARCO
Kuna eneo jipya kwa ajili ya viwanda vikubwa, Nyashimbi na Chapulwa. Nyashimbi wametenga karibia ekari 2,000 kwa ajili ya viwanda vikubwa tu.
 
Kuna eneo jipya kwa ajili ya viwanda vikubwa, Nyashimbi na Chapulwa. Nyashimbi wametenga karibia ekari 2,000 kwa ajili ya viwanda vikubwa tu.
Nimesikia hata stand mpya inaweza isijengwe Mbulu ikasogezwa Mwendakulima
 
Kuna eneo jipya kwa ajili ya viwanda vikubwa, Nyashimbi na Chapulwa. Nyashimbi wametenga karibia ekari 2,000 kwa ajili ya viwanda vikubwa tu.
Na ku a lile lililokuwa eneo la uwanja wa ndege Njia ya Mhongolo walikopewa SSB na wengine ..ndio nyashimbi huko!?
 
Mjadala uishie Hapa mzee!! Popote ulipo kunywa K_Vant ulale mkuu!! haka kajamaa kwa maneno ya kashifa afu ya kipimbipimbi tu kwa watu wa Lake zone kumbe ni kangumbaru kazuri tu!! Nafikiri katakaa kwa kutulia kama kanakunya kusoma hi zaiidi ya Mara 200!! Kaelewe na kakome kubisha bisha tu bila facts Wala Figures!!
 
Ila wewe jamaa kwakuwa ubongo upo karibu Sana na matarqoo sababu ya upungufu wa urefu umesababisha hata akili isinyae kabisa!!
 
Sasa huu ni utoto na ufinyu wa kufikiri,
Katika vitu sifagilii kabisa ni huu upuuzi uliouandika hapa.
haya ndio madhara ya kushindia kula michembe na mapanki kutwa mara 4.
Wewe mtu mwenye kimo kifupi Michembe unaijua au unaisikia tu?
Na je Kanda ya Ziwa kuna uhaba huo wa chakula hadi tushindie Michembe?

Huna facts unaandika tu kifala fala na ufupi wako.
Kahama inayojigamba kuwa na mapato ya ndani makubwa
Inajigamba au ndivyo takwimu zinavyosema?
mumeshindwa kutumia hizo pesa kujenga stand unakuja kulia Lia hapa?
Hujui lolote.
Hiyo Njombe imejenga stendi ya mabasi na soko kwa fedha zilizokusanywa wapi?
Na ulivyo kiazi na hapa utabisha,
Kiazi mama'ko
Njoo Njombe ule matunda anuwai ikusaidie kuamsha afya ya akili uwe unaleta vitu logical
Hahahahahahaha Logical 😝😝😝😝 siji sehemu zenye watu wengi wafupi na wenye dark color kupitiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…