ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #19,921
Pamejaa mabanda matupu hapa ππ
Kwani kahama ipo mkoa gani ..tuanzie hapo kwanza πMikdde Kama Kahama ni Town Kwa nini Bado investors Wana erect majengo makubwa makubwa Shinyanga? ππ
View: https://youtu.be/_QdsgOQHjns?si=HV9yVDrXP8fiSjfH
Nilisema Kahama ni gulio utabisha? ππ
Soma content kabla ya kukurupukaKwani kahama ipo mkoa gani ..tuanzie hapo kwanza π
Samia yupo moto moja ya project kubwa ya maji itakayo hudumia wakazi zaidi ya laki tano ni hii na ya kiwira
Aliyekuambia kahama hamna majengo yanayojengwa ni naniSoma content kabla ya kukurupuka
Yako wapi?Aliyekuambia kahama hamna majengo yanayojengwa ni nani
Huyu Tajiri wa Chunya anawasaidia maisha huko kwenu Geita ππ
Porojo zile zile hadi 2040Ulitaka 6 lanes Highway njoo Mbeya π π
View: https://www.instagram.com/p/DEwdUi-CjXl/?igsh=MTNjeHMxNHI1Ym9rdw==
Poor infrastructure with few and agly buildings,yaani Manispaa nzima tujengo twa kutafutiza,poor you and your blogger
Ukitaka njia 6 lazima uje Nyanda za Juu Kusini .Porojo zile zile hadi 2040
Majengo ya mbeya yako wapi πππPoor infrastructure with few and agly buildings,yaani Manispaa nzima tujengo twa kutafutiza,poor you and your blogger
Wivu mama wivuPoor infrastructure with few and agly buildings,yaani Manispaa nzima tujengo twa kutafutiza,poor you and your blogger
Mbeya ni Kati ya Majiji 5 yenye majengo marefu Tanzania Kwa mujibu wa sensa so usije linganisha na huo upuuzi wa huko gulioni.Majengo ya mbeya yako wapi πππ