LGE2024 Kahama: Wakazi wa Bukondamoyo kata ya Mhungula washinikiza mgombea wao kupitia CHADEMA atangazwe

LGE2024 Kahama: Wakazi wa Bukondamoyo kata ya Mhungula washinikiza mgombea wao kupitia CHADEMA atangazwe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mambo yamezidi kuwa moto huko

Bukondamoyo kata ya Mhungula wilaya ya Kahama wakishinikiza mgombea kupitia CHADEMA atangazwe

Sijui itakuaje. Asubuhi walikamata kura feki.


 
Jina la Kijiji cha Bukondamoyo limenifurahisha, nimekumbuka Kijiji Cha ukondamoyo Urambo
 
Tunatakiwa kujenga taifa la watu wastaarabu, wanaoheshimiana, watu wa haki, wenye busara na wamoja kwa mustakabali mwema wa taifa.
Haya mambo ya kukosa mifumo mizuri ya haki na uwazi katika uchaguzi yanaharibu jamii, yanajenga unyama na mgawanyiko usio wa lazima.
Ni lazima kujenga undugu, umoja, na mshikamano. Vyama ni majukwaa ya kufanyia siasa za maendeleo ya wote kwa faida ya taifa zima.
Adui mkubwa wa taifa siyo vyama vyama siasa, ni watumishi wa Uma na vyombo vya dola wasiotumia akili na kutenda haki.
 
Back
Top Bottom