Kahata Tumjadili Kwanza au Tuendelee Kumpa Muda?

Kijiko yupo vizuri sana sijui tatizo nini, ila kocha wa simba naye ni tatizo ashukuru ana kikosi kizuri ila hana mbinu za mpira pia hana mbinu za kutumia players tofauti akifanya hivyo anakwama
 
Kahata mchezaj mzuri tu sema misumar bongo ndio tishio sijawai kuona mchezaj akatoka Kenya akaja kuwika bongo zaid ya bonifas Amban na Ben mwalala sijui hawaamin kweny uchawi
Moses Odhiambo, George Owino, John Baraza, Edwin Bukenya, Jerry Santo, Crispin Odulla,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…