Kahawa safii kwa afya

Kahawa safii kwa afya

Ulishakunywa Kitu inaitwa cupchino??
Kuhawa inatengenzwa Kwa Maziwa
Ipo kama juice ile nzito au uji daah

Ile ndiyo Kahawa Sasa sio hayo maji Unakunywa hapo
[emoji23][emoji23][emoji23] acha basi kutudhalilisha sisi wanywa alkasusi
 
K
Ulishakunywa Kitu inaitwa cupchino??
Kuhawa inatengenzwa Kwa Maziwa
Ipo kama juice ile nzito au uji daah

Ile ndiyo Kahawa Sasa sio hayo maji Unakunywa hapo
Kanywe wewe, yeye kapenda hayo hayo maji yake,
Tuliza mshono
 
Ulishakunywa Kitu inaitwa cupchino??
Kuhawa inatengenzwa Kwa Maziwa
Ipo kama juice ile nzito au uji daah

Ile ndiyo Kahawa Sasa sio hayo maji Unakunywa hapo
Mkuu cappuccino sio lazima iwe nzito au iwe na maziwa huo ni uamuzi wa mnywaji
 
Ulishakunywa Kitu inaitwa cupchino??
Kuhawa inatengenzwa Kwa Maziwa
Ipo kama juice ile nzito au uji daah

Ile ndiyo Kahawa Sasa sio hayo maji Unakunywa hapo
[emoji16][emoji16][emoji16]kuna bank moja bana wanatoa hii kitu(tawi la wazito),sasa kuna msomali mmoja akawa daily asubuhi anakuja kufanya miamala ya kibenk,anapiga saa ya kuondoka anakinga nyingine anasepa nayo,bank wana mind wanamkaushia maana ni mteja tena VIP.

Siku moja si akaja na mkate bana na mwanae,aaaah

Wakamzingua,kumbe alikuwa anatumwa bana,wala hela sio zake.
 
Hahahaha Hahahaha mkuu Hiyo Kitu ni level nyingne aise
Ukinywa daily ni full addiction Kuna muhindi fulan yeye anachukua vikombe viwil daily
Na hicho kikombe ni nusu litre bei yake buku 8 Mara mbili buku 16
 
Back
Top Bottom