kaiba jina naanzia wapi?

kaiba jina naanzia wapi?

Mtangoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
6,167
Reaction score
5,613
nimegundua kuna mtu kaiba jina analitumia kimasomo. Msaada wa kisheria kuhandle hii issue. amekopa hata bodi ya mikopo.
msaada wandugu.
 
Anzia kwenye sehemu husika mf..necta toa taarifa na huko bodi ya mikopo au hata chuoni..lakini ukae ukijua utaonekana na actually utakua snitch..aisee..ila mim nashauri potezea tu huwezi jua mtu amehangaikaje hadi hado alipofika..unataka mwenzio arudi kijiweni au?
 
Anzia kwenye sehemu husika mf..necta toa taarifa na huko bodi ya mikopo au hata chuoni..
Nataka nikusanye evidence kwanza. Ndio maana nahitaji msaada!
Ni evidence gani zina sound mahakamani.

lakini ukae ukijua utaonekana na actually utakua snitch..aisee..
Sijakuelewa, nisaidie hapa!

ila mim nashauri potezea tu huwezi jua mtu amehangaikaje hadi hado alipofika..unataka mwenzio arudi kijiweni au?

Argggggh! Hawa watakuja kufundisha pumba wana wetu. Kwa nini asisome yeye aende kwa mgongo wa mwenzake?
Acha tu nimuadibishe ili ajue "cheap is expensive".
Justice have to be served!
 
Nataka nikusanye evidence kwanza. Ndio maana nahitaji msaada!
Ni evidence gani zina sound mahakamani.

Sijakuelewa, nisaidie hapa!

Argggggh! Hawa watakuja kufundisha pumba wana wetu. Kwa nini asisome yeye aende kwa mgongo wa mwenzake?
Acha tu nimuadibishe ili ajue "cheap is expensive".
Justice have to be served!
wewe unachotakiwa kufanya ni kureport..chuoni..kwanza kwasababu hilo kosa ni la jinai either ame impersonate au ame forgr kughushi jamhuri itamshtaki endapo relevant authorities zitakapo amua kupursue the matter further..kwaio wewe hapo hauta husika kwa vyovyote vile...
 
Una maana waki ignore kutaendelea kuwa na watu wawili wenye jina moja????
Let me try that!
 
Ungeeleza kwanza una nini na nini cha kuonyesha wewe ndio ulioibiwa then, rahisi mtu kukueleza zaidi.

ok sema kama una kitambulisho, cheti cha kuzaliwa, barua ya serikali ya mtaa na etc
 
eeeh bhana maana probability doesnt mean its a possibility lakini ukiwawekea facts and evidence za kutosha watamchukulia hatua tu nakumbuka kipindi flani jamaa wawili wliforge vyeti vya form iv..wakati tupo a level daaah tuliitwa assembly jamaa waliumbuliwa mmoja alikua PCM mwngine HGE..daaaah ilikua zinga la noma ila wa HGE alikua weak performer mpaka unashangaaa
 
Ninavyo!
 
Aisee! Ngoja nisikie inakuwaje!
 
Back
Top Bottom