Nataka nikusanye evidence kwanza. Ndio maana nahitaji msaada!Anzia kwenye sehemu husika mf..necta toa taarifa na huko bodi ya mikopo au hata chuoni..
Sijakuelewa, nisaidie hapa!lakini ukae ukijua utaonekana na actually utakua snitch..aisee..
ila mim nashauri potezea tu huwezi jua mtu amehangaikaje hadi hado alipofika..unataka mwenzio arudi kijiweni au?
wewe unachotakiwa kufanya ni kureport..chuoni..kwanza kwasababu hilo kosa ni la jinai either ame impersonate au ame forgr kughushi jamhuri itamshtaki endapo relevant authorities zitakapo amua kupursue the matter further..kwaio wewe hapo hauta husika kwa vyovyote vile...Nataka nikusanye evidence kwanza. Ndio maana nahitaji msaada!
Ni evidence gani zina sound mahakamani.
Sijakuelewa, nisaidie hapa!
Argggggh! Hawa watakuja kufundisha pumba wana wetu. Kwa nini asisome yeye aende kwa mgongo wa mwenzake?
Acha tu nimuadibishe ili ajue "cheap is expensive".
Justice have to be served!
Una maana waki ignore kutaendelea kuwa na watu wawili wenye jina moja????wewe unachotakiwa kufanya ni kureport..chuoni..kwanza kwasababu hilo kosa ni la jinai either ame impersonate au ame forgr kughushi jamhuri itamshtaki endapo relevant authorities zitakapo amua kupursue the matter further..kwaio wewe hapo hauta husika kwa vyovyote vile...
eeeh bhana maana probability doesnt mean its a possibility lakini ukiwawekea facts and evidence za kutosha watamchukulia hatua tu nakumbuka kipindi flani jamaa wawili wliforge vyeti vya form iv..wakati tupo a level daaah tuliitwa assembly jamaa waliumbuliwa mmoja alikua PCM mwngine HGE..daaaah ilikua zinga la noma ila wa HGE alikua weak performer mpaka unashangaaaUna maana waki ignore kutaendelea kuwa na watu wawili wenye jina moja????
Let me try that!
Aisee! Ngoja nisikie inakuwaje!eeeh bhana maana probability doesnt mean its a possibility lakini ukiwawekea facts and evidence za kutosha watamchukulia hatua tu nakumbuka kipindi flani jamaa wawili wliforge vyeti vya form iv..wakati tupo a level daaah tuliitwa assembly jamaa waliumbuliwa mmoja alikua PCM mwngine HGE..daaaah ilikua zinga la noma ila wa HGE alikua weak performer mpaka unashangaaa