Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Mkama Bwire ameeleza hali ya madeni na kukiri kuwa bado kuna madeni yaliyofikia takribani bilioni 40. Madeni hayo yamegawanyika katika maeneo matatu:
- Taasisi mbalimbali: Deni lipo Takribani bilioni 22.
- Wateja walioondolewa huduma: Madeni haya ni takribani milioni 15.
- Wateja wa nyumbani: Wanadaiwa bilioni 10, lakini bado wanapata maji ambapo madeni hayo ni vimilivu.