Mkalukungone mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 862 Reaction score 1,755 Aug 7, 2024 #1 Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Mkama Bwire ameeleza hali ya madeni na kukiri kuwa bado kuna madeni yaliyofikia takribani bilioni 40. Madeni hayo yamegawanyika katika maeneo matatu: Taasisi mbalimbali: Deni lipo Takribani bilioni 22. Wateja walioondolewa huduma: Madeni haya ni takribani milioni 15. Wateja wa nyumbani: Wanadaiwa bilioni 10, lakini bado wanapata maji ambapo madeni hayo ni vimilivu. Your browser is not able to display this video.
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Mkama Bwire ameeleza hali ya madeni na kukiri kuwa bado kuna madeni yaliyofikia takribani bilioni 40. Madeni hayo yamegawanyika katika maeneo matatu: Taasisi mbalimbali: Deni lipo Takribani bilioni 22. Wateja walioondolewa huduma: Madeni haya ni takribani milioni 15. Wateja wa nyumbani: Wanadaiwa bilioni 10, lakini bado wanapata maji ambapo madeni hayo ni vimilivu. Your browser is not able to display this video.
Adverse Effect JF-Expert Member Joined Oct 8, 2017 Posts 2,049 Reaction score 5,449 Aug 7, 2024 #2 Madeni ya bilioni 40 ingekuwa uwekezaji binafsi au taasisi inayotakiwa kuingiza faida ingeshafilisika na kufa kifo cha mende.
Madeni ya bilioni 40 ingekuwa uwekezaji binafsi au taasisi inayotakiwa kuingiza faida ingeshafilisika na kufa kifo cha mende.
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,732 Reaction score 4,901 Aug 8, 2024 #3 Wacha wafilisike tu, watendaji wao ni wapuuzi Sana. Nitaleta kisa kimoja uone upuuzi wa watendaji wao
Wacha wafilisike tu, watendaji wao ni wapuuzi Sana. Nitaleta kisa kimoja uone upuuzi wa watendaji wao