Kaimu Msemaji Azam FC Hashim Ibwe: Ukiona unachukiwa jua unachokifanya ni sahihi, songa mbele

Kaimu Msemaji Azam FC Hashim Ibwe: Ukiona unachukiwa jua unachokifanya ni sahihi, songa mbele

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ukiona GENTAMYCINE anachukiwa sana na Manyang'au wengi Mtandaoni / Mitandaoni licha ya Yeye Kubarikiwa mno na Mwenyezi Mungu na kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer alivyo jua pia anachokifanya kwa 100% ni sahihi.

Ni mwendo tu wa Kuwakera Maadui.
 
Back
Top Bottom