Kaitaba, Kagera: Kagera Sugar 1 -2 Yanga Afrika

Wapi nimesema uwezo wetu mdogo? Number hazidanganyi .
Wenye uwezo wapo juu
Mmekalia nafasi za watu kwa muda tu, wenye nazo twaja kuchukua nafasi zetu ASAP,anyway ngoja niiwakilishe nchi vyema siku ya jumatano.
 
Butua Butua football
Mkitcheza mechi za kimataifa mnapigishwa mbzi kwenye lami

Ova
 
Butua Butua football
Mkitcheza mechi za kimataifa mnapigishwa mbzi kwenye lami

Ova
Wekundu wa msimbazi ni klabu bora kabisa hapa nchini na Africa kwa ujumla, karibu sana siku ya jumatano wakati tukiwafundisha watoto wa mswati namna kabumbu linavyosakatwa kwa umahiri mkubwa.
 
Ball possession without goals is like sex without happy ending. Utterly useless.
Mpira ni starehe wewe, sie wengine tunavutiwa zaidi tunavyoona Clotus Chama Chota anavyouchezea mpira kwa umahiri mkubwa, bila kumsahau midfield maestro Mkude Simba anavyobadili uwanja mara kwa mara kwa pasi zake murua, umesahau krosi za beki bora kabisa wa kulia shomari Kapombe? Huwa nasikia raha sana ninavyomuona Erasto Nyoni akicheza, usiwasahau Okwi, MK14, Bocco nk.
 
Sisi furaha yetu ni final product, Kombe. Haishangazi bingwa mara 27 na anayefuata mara 19.
Endeleeni kuuchezea hata mwaka huu. Bingwa ni Yanga au Azam.
 
Usijidanganye, hii ligi ilianza zamani sana. Kumbuka matokeo mazuri kwa Yanga yanawapa motisha kuendelea mbele wakati ambapo matokeo mabaya ya Simba yanawapunguzia confidence.

Naongea haya huku nikiumia.sana kwa matokeo ya kusuasua ya Simba yakichangiwa na kocha asiyejua wapi afanye sub na kwa nini.
Punguzeni kelele, ndio kwanza ligi bado mbichi.
 
sijasema msishangilie ,nimesema muwe na kiasi,tatizo lenu mnashangilia kama ligi imeshaisha na mmetawazwa kuwa mabingwa wapya jambo ambalo haliwezi kutokea abadan.
Mzungu pori wenu ndivyo snavyowakaririsha hivyo,hlf mwisho wa msimu mnakimbilia fifa!
 
Mzungu pori wenu ndivyo snavyowakaririsha hivyo,hlf mwisho wa msimu mnakimbilia fifa!
Jambo moja nina uhakika nalo ni kuwa raundi ya pili tukikutana lazima uchezee kichapo, nina uhakika wa alama tatu kutoka kwako.
 
Huu ni mzunguko wa 13 ligi ina mechi 38 ukitoa hapo inabaki mechi 25 na jumla ya points 75 bado safari ni ndefu sana haitoshi kuanza kelele nyingi muda huu.
 
Sisi furaha yetu ni final product, Kombe. Haishangazi bingwa mara 27 na anayefuata mara 19.
Endeleeni kuuchezea hata mwaka huu. Bingwa ni Yanga au Azam.
Huu ubingwa nina uhakika nao kwa misimu mitatu mfululizo, kwa nini nasema hivyo kwasababu ya uwekezaji mkubwa tunaoufanya pamoja na malengo tuliyonayo sisi kama klabu.
 
Huu ubingwa nina uhakika nao kwa misimu mitatu mfululizo, kwa nini nasema hivyo kwasababu ya uwekezaji mkubwa tunaoufanya pamoja na malengo tuliyonayo sisi kama klabu.
Wakuchukua misimu mitatu mfulilizo kwa uzoefu wanajulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…