Kaitaba, Kagera: Kagera Sugar 1 -2 Yanga Afrika

Mmmh hawa jamaa sio...wanataka kuanzia ligi kwetu
Ndio timu yenye sare nyingi zaidi mpaka sasa kwenye TPL, wameshatoka sare katika michezo 8 mpaka sasa, pengine panga lao watalinolea kwenu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…