DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,497
- 5,090
It's not over untill it's overKwa hali ilivyo hapa kaitaba, ni wazi kabisa yanga i dhoofu ilihali.
Toka ligi ianze yanga huwa anakuwa hivyo mwisho wa gemu inakuwa ushindi ama droo ko hata hao wanaokukuruka ama kucheza vizuri wanashindwa kuondoka na point 3Kwa hali ilivyo hapa kaitaba, ni wazi kabisa yanga i dhoofu ilihali.
Utapata tabu sana mkuu kuiombea kichapo Yanga. Pambana na hali yakonaona mnapata goli la pili hapa kupitia kwa Raphae Daudi
Haujaisha tu, khaa!!naona mnapata goli la pili hapa kupitia kwa Raphae Daudi
Nipe matokeo mkuu kutoka KaitabaFunga nyanga fc hao.
Umechoka kuangalia au matokeo yanakufanya uone muda hausogei?Haujaisha tu, khaa!!
Nipe matokeo mkuu kutoka Kaitaba
Asante mkuu. Ngoja nimtag mtani wangu MjingamimiDakika ya 84 ,mnaongoza kwa goli mbili kwa moja ....kagera 1 yanga 2
Uishe tu matokeo hayo yanatosha bana, hao kagera hawaeleweki ujueUmechoka kuangalia au matokeo yanakufanya uone muda hausogei?
Mda si mrefu wenzetu wataanza kuombea mechi zote zilizobaki yanga acheze nyumbani ili awe anapata hata droo maana huko nje si habari nzuri kwa wenzetu
atailamba kwa rahaaaa zake ushindi kwa yanga ni lazimaYanga anaongoza mpaka sasa ila lazima alambishwe sukari ya kagera.
1-1
matokeo haya yameletwa kwenu kwa hisani ya mke wangu.
Dakika ya 84 ,mnaongoza kwa goli mbili kwa moja ....kagera 1 yanga 2